Loading...

WATAALAMU WA MANUNUZI YA UMMA WAASWA KUZINGATIA WEREDI KATIKA UTENDAJI WAO WA KAZI

Loading...
WATAALAMU WA MANUNUZI YA UMMA WAASWA KUZINGATIA WEREDI KATIKA UTENDAJI WAO WA KAZI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATAALAMU WA MANUNUZI YA UMMA WAASWA KUZINGATIA WEREDI KATIKA UTENDAJI WAO WA KAZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATAALAMU WA MANUNUZI YA UMMA WAASWA KUZINGATIA WEREDI KATIKA UTENDAJI WAO WA KAZI
link : WATAALAMU WA MANUNUZI YA UMMA WAASWA KUZINGATIA WEREDI KATIKA UTENDAJI WAO WA KAZI

soma pia


WATAALAMU WA MANUNUZI YA UMMA WAASWA KUZINGATIA WEREDI KATIKA UTENDAJI WAO WA KAZI

Na Woinde Shizza Globu ya jamii ,Arusha

Wataalamu wa manunuzi ya Umma nchini wametakiwa kuzingatia weredi katika utendaji wao wa kazi na kuepukana na vitendo vya ubadhirifu ,rushwa na matumizi mabaya ya fedha za umma, jambo litakalosaidia kudhibiti matumizi mabaya ya fedha na kusaidia fedha hizo kutumika katika maendeleo mapana zaidi ya Taifa.

Akizungumza kwa niaba ya Rais Dkt John Magufuli,wakati alipokuwa akifungua mkutano wa siku tatu wa wataalamu na wabobezi wa manunuzi ya umma(IPPC) kutoka nchi 46 Duniani unaofanyika jijini Arusha,nchini Tanzania,Waziri wa fedha na mipango Dkt Mpango amesema mkutano huo unalenga kujadiliana namna ya kudhibiti matumizi mabaya ya fedha za umma kupitia taknolojia mpya ya manunuzi .

‘’Ununuzi wa umma ndio sehemu kubwa ambapo fedha za bajeti zinapita, hivyo ukifanyika vibaya maana yake serikali inapata hasara ndio maana tunasisitiza weredi wa wataalamu wa manunuzi kwa sababu kuna mamunuzi hewa na miradi hewa ’amesema Dkt Mpango
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Philip Mpango akisalimiana na mwenyekiti wa bodi ya manunuzi Dkt. Hellen Bandiho wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wabobezi na wanunuzi wa umma jana ,uliofanyika katika ukumbi wa simba uliopo ndani ya jengo la mikutano la AICC .
Dkt Mpango akifungua mkutano wa siku tatu unaohusu bodi ya manunuzi, jana jijini Arusha 
Washiriki wa mkutano huo wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri ndani ya mkutao huo 
waziri Dkt Mpangao akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa taasisi zilizopo chini ya taasisi ya wizara ya fedha na mipango(picha zote na Woinde Shizza,Glob ya jamii Arusha.HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WATAALAMU WA MANUNUZI YA UMMA WAASWA KUZINGATIA WEREDI KATIKA UTENDAJI WAO WA KAZI

yaani makala yote WATAALAMU WA MANUNUZI YA UMMA WAASWA KUZINGATIA WEREDI KATIKA UTENDAJI WAO WA KAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATAALAMU WA MANUNUZI YA UMMA WAASWA KUZINGATIA WEREDI KATIKA UTENDAJI WAO WA KAZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/wataalamu-wa-manunuzi-ya-umma-waaswa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATAALAMU WA MANUNUZI YA UMMA WAASWA KUZINGATIA WEREDI KATIKA UTENDAJI WAO WA KAZI"

Post a Comment

Loading...