Loading...

Droo ya tatu ya SHINDA NA SMATIKA INTANETI: Airtel yagawa Simu za Smatiphone kwa washindi

Loading...
Droo ya tatu ya SHINDA NA SMATIKA INTANETI: Airtel yagawa Simu za Smatiphone kwa washindi - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Droo ya tatu ya SHINDA NA SMATIKA INTANETI: Airtel yagawa Simu za Smatiphone kwa washindi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Droo ya tatu ya SHINDA NA SMATIKA INTANETI: Airtel yagawa Simu za Smatiphone kwa washindi
link : Droo ya tatu ya SHINDA NA SMATIKA INTANETI: Airtel yagawa Simu za Smatiphone kwa washindi

soma pia


Droo ya tatu ya SHINDA NA SMATIKA INTANETI: Airtel yagawa Simu za Smatiphone kwa washindi


  • Washindi wengine 3,000 wajishindia kifurushi cha intaneti 1GB kila mmoja
Kampuni inayoongoza kwa kutoa huduma bora za smartphone Airtel Tanzania imewazadia washindi wa droo ya tatu ya promosheni yaSHINDA NA SMATIKA Intaneti katika droo iliyochezwa leo jijini Dar es Salaam.
Katika droo hiyo ya leo, washindi 10 wameweza kujishindia simu za kisasa  za smartphone pamoja na modem huku wengine 3,000 wakijishindia kifurushi cha intaneti cha 1GB BURE. Hii ni droo ya tatu tangu kuzinduliwa kwa promosheni hiyo ambapo mpaka leo jumla ya washindi 8,000 tayari wamezawasiwa  zawadi ya kifurushi cha intaneti cha 1GB BURE.
Akizungumza baada ya droo ya leo, Meneja Uhusiano Airtel Jackson Mmbando alisema kuwa promosheni ya SHINDA NA SMATIKAIntaneti ni maalum kwa  wateja wote wa Airtel wanaotumia huduma ya Yatosha Intaneti nchi nzima.
‘Promosheni yetu ya SHINDA NA SMATIKA Intaneti bado inaendelea, ni muhimu kufahamu kuwa mteja haitaji kujisajili kwa ajili ya promosheni ya SHINDA NA SMATIKA Intaneti. Kile anachotakiwa kufanya ni kupiga *149*99# halafu changua namba 5 Yatosha SMATIKA Intaneti, hapo atanunua bando aidha ya siku, wiki au mwezi na kuwa mmoja wa washindi wa zawadi zetu kambambe’, alisema Mmbando.
 Meneja Uhusiano Airtel Tanzania Jackson Mmbando akionyesha baadhi ya simu za smartphone ambazo ni zawadi kwa washindi wa SHINDA NA SMATIKA Intaneti. Jumla ya wateja 3000 walijishindia 1GB ya intaneti bure, watano simu tano za smartphone na tano modem.


 Meneja Uhusiano Airtel Tanzania Jackson Mmbando akiongea na washindi wa SHINDA NA SMATIKA Intaneti wakati wakuchezesha droo leo jijini Dar es Salaam ambapo washindi 3000 walijishindia 1GB bure, watano simu tano za smartphone na tano modem.

Meneja Uhusiano Airtel Tanzania Jackson Mmbando akiongea na washindi wa SHINDA NA SMATIKA Intaneti wakati wakuchezesha droo leo jijini Dar es Salaam ambapo washindi 3000 walijishindia 1GB bure, watano simu tano za smartphone na tano modem.



Hivyo makala Droo ya tatu ya SHINDA NA SMATIKA INTANETI: Airtel yagawa Simu za Smatiphone kwa washindi

yaani makala yote Droo ya tatu ya SHINDA NA SMATIKA INTANETI: Airtel yagawa Simu za Smatiphone kwa washindi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Droo ya tatu ya SHINDA NA SMATIKA INTANETI: Airtel yagawa Simu za Smatiphone kwa washindi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/droo-ya-tatu-ya-shinda-na-smatika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Droo ya tatu ya SHINDA NA SMATIKA INTANETI: Airtel yagawa Simu za Smatiphone kwa washindi"

Post a Comment

Loading...