Loading...

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA TARIME

Loading...
WATU WATANO WAFARIKI DUNIA TARIME - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATU WATANO WAFARIKI DUNIA TARIME, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATU WATANO WAFARIKI DUNIA TARIME
link : WATU WATANO WAFARIKI DUNIA TARIME

soma pia


WATU WATANO WAFARIKI DUNIA TARIME

Watu watano wamefariki dunia papo hapo na wengine watatu kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Busurwa mwambao wa Ziwa Victoria wilayani Rorya kwenda mjini Tarime kupinduka.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tarime na Rorya, Henry Mwaibambe amesema ajali hiyo ilitokea katika kitongoji cha Bukwe eneo la Mika alfajiri ya jana Agosti 14, 2018, ambapo uchunguzi wa awali umebaini chanzo cha ajali ni mwendo kasi uliosababishwa na dereva aliyekuwa akiwakimbia askari wa doria.

Kamanda Mwaibambe amesema dereva wa gari hilo aliyejulikana kwa jina la Athumani Masiaga ambaye ni miongoni mwa waliofariki dunia alikataa kutii amri ya kusimama iliyotolewa na askari wa usalama barabarani kutokana na kubeba samaki wanaosadikiwa kupatikana kutokana na uvuvi haramu.



Hivyo makala WATU WATANO WAFARIKI DUNIA TARIME

yaani makala yote WATU WATANO WAFARIKI DUNIA TARIME Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATU WATANO WAFARIKI DUNIA TARIME mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/watu-watano-wafariki-dunia-tarime.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATU WATANO WAFARIKI DUNIA TARIME"

Post a Comment

Loading...