Loading...
title : WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI, WAKILI MKUU WA SERIKALI NA OFISI YA TAIFA YA MASHTAKA JIJINI DODOMA
link : WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI, WAKILI MKUU WA SERIKALI NA OFISI YA TAIFA YA MASHTAKA JIJINI DODOMA
WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI, WAKILI MKUU WA SERIKALI NA OFISI YA TAIFA YA MASHTAKA JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua Ofisi ya Mwanansheria Mkuu wa Serikiali, Wakili Mkuu wa Serikali na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka jijini Dodoma Agosti 15, 2018. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi, Meya wa Jiji la Dodoma, Profesa Devis Mwamfupe, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde, Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi, Mkuu wa wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria , Profesa Sifuni Mchome, Mkurugenzi wa Mshtaka, Biswalo Mganga na kulia ni Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Posi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi walioshirki katika uzinduzi wa Ofisi za Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wakili Mkuu wa Serikali na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka jijini Dodoma, Agosti 15, 2018. Waliokaa wanne kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi na watatu kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde. Watatu kulia ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi na wanne kulia ni Mkuu wa wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi wakati alipowasili kwenye eneo la uzinduzi wa Ofisi ya Mwanansheria Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Taifa ya Mashtaka na Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Jijini Dodoma, Agosti 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa, Paramagamba Kabudi (kushoto), Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde (wapili kushoto) na Mkuu wa wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama vitabu wakati alipotembelea maktaba ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wakili Mkuu wa Serikali na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka aliyoizindua jijini Dodoma, Agosti 15, 2018. Kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI, WAKILI MKUU WA SERIKALI NA OFISI YA TAIFA YA MASHTAKA JIJINI DODOMA
yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI, WAKILI MKUU WA SERIKALI NA OFISI YA TAIFA YA MASHTAKA JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI, WAKILI MKUU WA SERIKALI NA OFISI YA TAIFA YA MASHTAKA JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/waziri-mkuu-majaliwa-azindua-ofisi-ya.html
0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI, WAKILI MKUU WA SERIKALI NA OFISI YA TAIFA YA MASHTAKA JIJINI DODOMA"
Post a Comment