Loading...
title : WITO...WITO...WITO... KWA WANA MACHAME GIRLS SECONDARY SCHOOL WOTE
link : WITO...WITO...WITO... KWA WANA MACHAME GIRLS SECONDARY SCHOOL WOTE
WITO...WITO...WITO... KWA WANA MACHAME GIRLS SECONDARY SCHOOL WOTE
Tunawatangazia watu wote waliosoma katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Machame kuundwa kwa “Machame Girls Alumni”.
Lengo kuu ni kuienzi elimu bora tuliyoipata, kwa kushirikishana masuala ya maendeleo, yanayoihusu shule hiyo na jamii kwa ujumla.
Kwa wote wanaopenda kujiunga nasi, tafadhali piga au tuma ujumbe wa simu au whatsapp kwa namba 0784485678 au 0784368484/0768368484 kabla ya tarehe 30 August, 2018.
JIVUNIE SHULE YAKO, JENGA TAIFA LETU
KAMATI YA MAANDALIZI
Hivyo makala WITO...WITO...WITO... KWA WANA MACHAME GIRLS SECONDARY SCHOOL WOTE
yaani makala yote WITO...WITO...WITO... KWA WANA MACHAME GIRLS SECONDARY SCHOOL WOTE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WITO...WITO...WITO... KWA WANA MACHAME GIRLS SECONDARY SCHOOL WOTE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/witowitowito-kwa-wana-machame-girls.html
0 Response to "WITO...WITO...WITO... KWA WANA MACHAME GIRLS SECONDARY SCHOOL WOTE"
Post a Comment