Loading...

Balozi Mstaafu Ali Idi Siwa ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF

Loading...
Balozi Mstaafu Ali Idi Siwa ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Balozi Mstaafu Ali Idi Siwa ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Balozi Mstaafu Ali Idi Siwa ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF
link : Balozi Mstaafu Ali Idi Siwa ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF

soma pia


Balozi Mstaafu Ali Idi Siwa ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
Simu: 255-22-2114512, 2116898
Baruapepe: press@ikulu.go.tz
Tovuti : www.ikulu.go.tz               

Nukushi: 255-22-2113425


OFISI YA RAIS,
     IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,   
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ikulu, Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Balozi Mstaafu Ali Idi Siwa (pichani) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF).
Uteuzi wa Balozi Mstaafu Ali Idi Siwa unaanza leo tarehe 20 Septemba, 2018.
Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam

20 Septemba, 2018



Hivyo makala Balozi Mstaafu Ali Idi Siwa ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF

yaani makala yote Balozi Mstaafu Ali Idi Siwa ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Mstaafu Ali Idi Siwa ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/balozi-mstaafu-ali-idi-siwa-ateuliwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Balozi Mstaafu Ali Idi Siwa ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF"

Post a Comment

Loading...