Loading...
title :
link :
Balozi wa Tanzani chini China,Mh Mbelwa Kairuki akimtambulisha mmoja wa wafanyabiashara wa china kwa Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji TIC Bw. Godfrey Mwambe mara baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuzungumza nao leo jijini Beijing ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC),unaotarajiwa kufunguliwa na Rais wa China Xi Jinping kesho jumatatu Septemba 3,2018 ambapo utafanyika kwa siku mbili.Mkutano huo kwa Tanzania Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa atamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Joh Pombe Magufuli
Hivyo makala
yaani makala yote
Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/balozi-wa-tanzani-chini-chinamh-mbelwa.html
0 Response to " "
Post a Comment