Loading...
title : BREAKING NYUZZZZ....: TFF YASIMAMISHA UCHAGUZI WA SIMBA
link : BREAKING NYUZZZZ....: TFF YASIMAMISHA UCHAGUZI WA SIMBA
BREAKING NYUZZZZ....: TFF YASIMAMISHA UCHAGUZI WA SIMBA
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeusimamisha mchakato wa uchaguzi katika klabu ya Simba kutokana na kukiuka baadhi ya taratibu stahiki.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi (TFF), Revocatus Kuuli, amesema mchakato wa uchaguzi huo umegubikwa na mambo mengi ambayo hayajafuata taratibu rasmi.
Mbali na hilo migogoro mbalimbali ya wanachama nayo imepelekea kusimamishwa kwa uchaguzi huo
Hivyo makala BREAKING NYUZZZZ....: TFF YASIMAMISHA UCHAGUZI WA SIMBA
yaani makala yote BREAKING NYUZZZZ....: TFF YASIMAMISHA UCHAGUZI WA SIMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NYUZZZZ....: TFF YASIMAMISHA UCHAGUZI WA SIMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/breaking-nyuzzzz-tff-yasimamisha.html
0 Response to "BREAKING NYUZZZZ....: TFF YASIMAMISHA UCHAGUZI WA SIMBA"
Post a Comment