Loading...
title : CAF YATAJA WAAMUZI MECHI YA TANZANIA NA CAPE VERDE
link : CAF YATAJA WAAMUZI MECHI YA TANZANIA NA CAPE VERDE
CAF YATAJA WAAMUZI MECHI YA TANZANIA NA CAPE VERDE
Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF limetaja waamuzi kutoka nchini Mali kuchezesha mchezo wa kufuzu AFCON 2019 kati ya Cape Verde na Tanzania katika Uwanja wa Estadio National Oktoba 12,2018.
Kwenye mchezo huo Mwamuzi wa katikati atakua Boubou Traore akisaidiwa na Mwamuzi namba 1 Drissa Kamory Niabe, Mwamuzi msaidizi namba 2 Baba Yomboliba na Mwamuzi wa akiba Gaoussou Kane na Kamishna wa Mchezo anatokea G. Equatorial Tadeo Nsue Onva.
Aidha mchezo wa marudiano kwa timu hizo utakaochezwa Oktoba 16, 2018 Kwenye Uwanja wa Taifa wenyewe utachezeshwa na Waamuzi kutoka Djibouti
Mwamuzi wa katikati atakuwa Souleiman Ahmed Djama, na Mwamuzi msaidizi namba 1 Farhan Bogoreh Salime, Mwamuzi msaidizi namba 2 Rachid Waiss Bouraleh na Mwamuzi wa akiba Bilal Abdallah Ismael.
Kamishna wa mchezo anatokea Malawi Maxwell Mtonga, Mtathmini waamuzi anatokea Rwanda Michael Gasingwa.
Hivyo makala CAF YATAJA WAAMUZI MECHI YA TANZANIA NA CAPE VERDE
yaani makala yote CAF YATAJA WAAMUZI MECHI YA TANZANIA NA CAPE VERDE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CAF YATAJA WAAMUZI MECHI YA TANZANIA NA CAPE VERDE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/caf-yataja-waamuzi-mechi-ya-tanzania-na.html
0 Response to "CAF YATAJA WAAMUZI MECHI YA TANZANIA NA CAPE VERDE"
Post a Comment