Loading...
title : KUELEKEA MICHEZO YA MAJESHI SANLAM LIFE INSURANCE YATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA JESHI LA MAGEREZA
link : KUELEKEA MICHEZO YA MAJESHI SANLAM LIFE INSURANCE YATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA JESHI LA MAGEREZA
KUELEKEA MICHEZO YA MAJESHI SANLAM LIFE INSURANCE YATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA JESHI LA MAGEREZA
Kamishna wa Huduma za Urekebishaji, Augustine Mboje(kushoto) akipokea vifaa vya michezo toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa SANLAM LIFE INSURANCE Bw. Khamis Suleiman,(wa tatu toka kulia) ni Meneja Uhusiano Mkuu wa SANLAM LIFE INSURANCE, Bw. Kileo Rishia.
Mkurugenzi Mkuu wa SANLAM LIFE INSURANCE Bw. Khamis Suleiman pamoja na Kamishna wa Huduma za Urekebishaji, Augustine Mboje(kushoto) wakikagua vifaa vya michezo kabla ya makabidhiano rasmi, leo Septemba 18, 2018 jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa SANLAM LIFE INSURANCE Bw. Khamis Suleiman (meza kuu) akizungumza na Kamishna wa Huduma za Urekebishaji, Augustine Mboje (wa pili kushoto) pamoja na ujumbe kutoka Jeshi la Magereza katika Ofisi za SANLAM LIFE INSURANCE Makao Makuu, leo Septemba 18, 2018 jijini Dar es Salaam.
Kamishna wa Huduma za Urekebishaji, Augustine Mboje akimshukuru Mkurugenzi Mkuu wa SANLAM LIFE INSURANCE Bw. Khamis Suleiman mara baada ya makabidhiano ya vifaa hivyo vya michezo katika ofisi za SANLAM LIFE INSURANCE Makao Makuu, leo Septemba 18, 2018 jijini Dar es Salaam.(Picha na Jeshi la Magereza).
Hivyo makala KUELEKEA MICHEZO YA MAJESHI SANLAM LIFE INSURANCE YATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA JESHI LA MAGEREZA
yaani makala yote KUELEKEA MICHEZO YA MAJESHI SANLAM LIFE INSURANCE YATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA JESHI LA MAGEREZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUELEKEA MICHEZO YA MAJESHI SANLAM LIFE INSURANCE YATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA JESHI LA MAGEREZA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/kuelekea-michezo-ya-majeshi-sanlam-life.html
0 Response to "KUELEKEA MICHEZO YA MAJESHI SANLAM LIFE INSURANCE YATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA JESHI LA MAGEREZA"
Post a Comment