Loading...

CUF YAMPONGEZA JPM KUVUNJA BODI YA TEMESA.

Loading...
CUF YAMPONGEZA JPM KUVUNJA BODI YA TEMESA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CUF YAMPONGEZA JPM KUVUNJA BODI YA TEMESA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CUF YAMPONGEZA JPM KUVUNJA BODI YA TEMESA.
link : CUF YAMPONGEZA JPM KUVUNJA BODI YA TEMESA.

soma pia


CUF YAMPONGEZA JPM KUVUNJA BODI YA TEMESA.

Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Na Noel Rukanuga, Dar es Salaam.
Baraza Kuu la Uongozi la Chama Cha wananchi (CUF) limeafiki na hatua alizochukua Rais Dkt. John Pombe Magufuli la kuvunja Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) baada ya kutokea ajali ya Kivuko cha Mv Nyerere Mkoani Mwanza.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kuwa baada ya baraza Kuu la uongozi taifa kukutana na kujadili ajenda mbalimbali na kuzifanyima maamuzi limeafiki na hatua ambayo Rais Dkt. Magufuli aliyochukua.

Profesa Lipumba amesema  baraza limeunga mkono maamuzi ya Dkt. Magufuli kutengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA).

"Baraza Kuu limeitaka kamati ya uchunguzi wa ajali ya MV Nyerere iliyoundwa na serikali kufanya uchunguzi wa kina bila kumlinda kiongozi au taasisi yoyote " amesema Profesa Lipumba.



Hivyo makala CUF YAMPONGEZA JPM KUVUNJA BODI YA TEMESA.

yaani makala yote CUF YAMPONGEZA JPM KUVUNJA BODI YA TEMESA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CUF YAMPONGEZA JPM KUVUNJA BODI YA TEMESA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/cuf-yampongeza-jpm-kuvunja-bodi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CUF YAMPONGEZA JPM KUVUNJA BODI YA TEMESA."

Post a Comment

Loading...