Loading...

DAWASA YADAIWA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA BODI YA BONDE LA WAMI/RUVU

Loading...
DAWASA YADAIWA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA BODI YA BONDE LA WAMI/RUVU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DAWASA YADAIWA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA BODI YA BONDE LA WAMI/RUVU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DAWASA YADAIWA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA BODI YA BONDE LA WAMI/RUVU
link : DAWASA YADAIWA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA BODI YA BONDE LA WAMI/RUVU

soma pia


DAWASA YADAIWA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA BODI YA BONDE LA WAMI/RUVU

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
MAMLAKA ya Majisafi na Maji Taka Dar es Salaam (Dawasa) inadaiwa zaidi ya sh. Bilioni Moja na Bodi ya Bonde la Wami/ Ruvu ikiwa ni kusambaza maji bila kulipia bonde kwa ajili ya uendelezaji wa vyanzo vya maji. 

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Afisa wa Maji wa Bodi ya Bonde la Wami/Ruvu Simon Ngonyani amesema kuwa baadhi ya mamlaka za maji katika mikoa wanatumia bonde la Wami/ Ruvu wamekuwa wakilipa vizuri isipokuwa Dawasa. 

Amesema kuwa licha ya Dawasa kuwa na mikakati ya usambazaji wa maji katika jiji la Dar es Salaam hivyo lazima walipe katika bonde kwa ajili ya kuhifadhi vyanzo vya maji hivyo. 

Ngonyani amesema kuwa maji ambayo wananchi wanapata yanatokana na kuwepo vyanzo vya maji ambavyo vinahifadhiwa na mamlaka zilizopo kazi yake ni kusambaza tu. 

Amesema kufikia deni hilo kwa Dawasa ni kutokana na kila wakipelekewa Ankara zao wanazichukua na kuzihifadhi huku wakiendelea kutoa huduma za maji. 

Amesema kuwa wenye visima wote katika jiji la Dar es Salaam wafike katika ofisi za Bodi ya bonde la Wami/Ruvu kupata amelezo juu ya ulipaji wa Ankara za maji ndani ya mmoja baada ya hapo watapita kwa kila watu wenye visima. 

Aidha amesema kuwa kampuni za uchimbaji wa visima watakutana nao Oktoba mwaka huu kwa ajili ya kupeana maelezo katika uchimbaji wa kisima. 

Ngonyani amesema ada ya uchimbaji wa kisima ni sh.150,000 na baada hapo kupewa utaratibu wa ulipaji wa ada kwa kila mwaka kuendana na matumizi. 
Afisa wa Maji wa Bonde la Wami/Ruvu Simon Ngonyani akizungumza na waandishi habari kuhusiana na kazi za bonde la Wami/Ruvu pamoja na kuzikumbusha Mamlaka za Maji kulipa Ankara zao , jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala DAWASA YADAIWA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA BODI YA BONDE LA WAMI/RUVU

yaani makala yote DAWASA YADAIWA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA BODI YA BONDE LA WAMI/RUVU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DAWASA YADAIWA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA BODI YA BONDE LA WAMI/RUVU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/dawasa-yadaiwa-zaidi-ya-bilioni-moja-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DAWASA YADAIWA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA BODI YA BONDE LA WAMI/RUVU"

Post a Comment

Loading...