Loading...
title : DK.SHEIN AZINDUA OFISI MPYA ZA WILAYA-DUNGA NA UIMARISHAJI MFUMO WA WAKALA WA USAJILI MATUKIO YA KIJAMII
link : DK.SHEIN AZINDUA OFISI MPYA ZA WILAYA-DUNGA NA UIMARISHAJI MFUMO WA WAKALA WA USAJILI MATUKIO YA KIJAMII
DK.SHEIN AZINDUA OFISI MPYA ZA WILAYA-DUNGA NA UIMARISHAJI MFUMO WA WAKALA WA USAJILI MATUKIO YA KIJAMII
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkurugenzi wa Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Dkt.Hussein Khamis Shaaban (kulia) mara baada ya kuzindua Jengo la Ofisi mpya ya Wilaya- Dunga na Uimarishaji wa Mfumo wa Matukio ya Kijamii katika hafla iliyofanyika leo katika Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheri.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Ofisi mpya za Wilaya -Dunga pamoja na uzinduzi wa Uimarishaji wa mfumo wa matukio ya kijamii uliofanyika leo Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,(kulia)Makamo wa Pili wa rais Balozi Seif Ali Idii,Mama Mwanamwema Shein na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheri (kushoto).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuzindua jengo la Ofisi mpya za Wilaya -Dunga pamoja na uzinduzi wa Uimarishaji wa mfumo wa matukio ya kijamii uliofanyika leo katika Wilaya kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Hivyo makala DK.SHEIN AZINDUA OFISI MPYA ZA WILAYA-DUNGA NA UIMARISHAJI MFUMO WA WAKALA WA USAJILI MATUKIO YA KIJAMII
yaani makala yote DK.SHEIN AZINDUA OFISI MPYA ZA WILAYA-DUNGA NA UIMARISHAJI MFUMO WA WAKALA WA USAJILI MATUKIO YA KIJAMII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DK.SHEIN AZINDUA OFISI MPYA ZA WILAYA-DUNGA NA UIMARISHAJI MFUMO WA WAKALA WA USAJILI MATUKIO YA KIJAMII mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/dkshein-azindua-ofisi-mpya-za-wilaya.html
0 Response to "DK.SHEIN AZINDUA OFISI MPYA ZA WILAYA-DUNGA NA UIMARISHAJI MFUMO WA WAKALA WA USAJILI MATUKIO YA KIJAMII"
Post a Comment