Loading...

Serikali Yawasilisha Muswada wa Kulitangaza Jiji la Dodoma Makao Makuu ya Nchi

Loading...
Serikali Yawasilisha Muswada wa Kulitangaza Jiji la Dodoma Makao Makuu ya Nchi - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Serikali Yawasilisha Muswada wa Kulitangaza Jiji la Dodoma Makao Makuu ya Nchi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Serikali Yawasilisha Muswada wa Kulitangaza Jiji la Dodoma Makao Makuu ya Nchi
link : Serikali Yawasilisha Muswada wa Kulitangaza Jiji la Dodoma Makao Makuu ya Nchi

soma pia


Serikali Yawasilisha Muswada wa Kulitangaza Jiji la Dodoma Makao Makuu ya Nchi

Na Jacquiline Mrisho - MAELEZO
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo leo amwewasilisha Muswada wa Sheria ya Kulitangaza Jiji la Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi katika mkutano wa kumi na mbili wa kikao cha kwanza cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Waziri Jafo amesema dhumuni la muswada huo ni kupendekeza kutungwa kwa sheria ambayo italitangaza rasmi Jiji la Dodoma kuwa makao makuu ya nchi na makao makuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Waziri Jafo amesem chimbuko la hoja ya kutunga sheria hiyo ni kukosekana kwa sheria inayotambua na kuweka misingi ya uendelezaji wa makao makuu ya nchi, hivyo hatua ya kulitambua jiji la Dodoma kama makao makuu ya nchi itachochea ukuaji wa mji wa Dodoma na maeneo yanayozunguka moka wa Dodoma kiuchumi na kijamii.

“Kukosekana kwa sheria inayotambua Dodoma kuwa makao makuu ya nchi kulisababisha uendelezaji wa makao makuu ya nchi kutofikia malengo, hivyo msingi wa kutunga sheria hii ni kutambua kisheria jiji la Dodoma kuwa makao makuu ya nchi” alisema Waziri Jafo.

Akifafanua kuhusu muswada aliowasilisha mbele ya Spika Job Ndugai, waziri Jafo amesema muswada huo utakuwa na vifungu sita vikiwemo vya utangulizi, matumizi, tafsiri ya maneno yaliyotumika, kulitangaza Jiji la Dodoma kama makao makuu ya nchi na mwisho ni kifungu ambacho kimeweka masharti ya kubadilisha makao makuu ya nchi.

Uamuzi wa kuwasilisha muswada wa kulitanganza jiji la Dodoma kuwa makao makuu ya nchi na serikali, ni mwendelezo wa hatua za kimageuzi zinazofanywa na Serikali ya awamu ya Tano chini ya Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Selemani   Jafo akiwasilisha Bungeni maelezo ya Serikali kuhusu muswaada wa sheria ya kulitangaza Jiji la Dodoma kuwa makao makuu ya nchi wa mwaka 2018( The Dodoma Capital City ( Declaration) Bill, 2018.


Hivyo makala Serikali Yawasilisha Muswada wa Kulitangaza Jiji la Dodoma Makao Makuu ya Nchi

yaani makala yote Serikali Yawasilisha Muswada wa Kulitangaza Jiji la Dodoma Makao Makuu ya Nchi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Serikali Yawasilisha Muswada wa Kulitangaza Jiji la Dodoma Makao Makuu ya Nchi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/serikali-yawasilisha-muswada-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Serikali Yawasilisha Muswada wa Kulitangaza Jiji la Dodoma Makao Makuu ya Nchi"

Post a Comment

Loading...