Loading...

KATIBU MKUU UVCCM AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JOHN GUNINITA IFAKARA WILAYANI KOLOMBELO LEO.

Loading...
KATIBU MKUU UVCCM AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JOHN GUNINITA IFAKARA WILAYANI KOLOMBELO LEO. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KATIBU MKUU UVCCM AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JOHN GUNINITA IFAKARA WILAYANI KOLOMBELO LEO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KATIBU MKUU UVCCM AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JOHN GUNINITA IFAKARA WILAYANI KOLOMBELO LEO.
link : KATIBU MKUU UVCCM AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JOHN GUNINITA IFAKARA WILAYANI KOLOMBELO LEO.

soma pia


KATIBU MKUU UVCCM AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JOHN GUNINITA IFAKARA WILAYANI KOLOMBELO LEO.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Mwl Raymond Mwangwala akimpa pole mdogo wa marehemu John Guninita Ndg Gerald John Guninita alipowasili nyumbani kwao Ifakara Wilaya ya kilombero.
 Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Mwl Raymond Mwangwala wakati akiwasili nyumbani kwao marehemu pamoja na mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Ndg  Innocent Karogelesi.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Mwl Raymond Mwangwala akizungumza na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Ndg Innocent Karogelesi
Waombolezaji wakiandamana kutangulia mbele wakati mwili wa Marehemu John Guninita ulipokuwa ukipelekwa eneo la kusaliwa wakati wa mazishi hayo
Muombolezaji Wakilia kwa uchungu wakati wa mazishi ya marehemu John Guninita




Vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu John Guninita kulipeleka kwenye eneo la kusaliwa wakati wa mazishi hayo
Mwili wa Marehemu ukiwa umepakizwa kwenye gari kwa ajili ya kupelekwa eneo la ibada
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Mwl Raymond Mwangwala akitoa mkono wa pole kwa mdogo wa marehemu John Guninita Ndg Gerald John Guninita alipowasili nyumbani kwao Ifakara Wilaya ya kilombero.
Jeneza Lililobeba Mwili wa Marehemu Ndg John Guninita likiwekwa ndani ya Kaburi na Waombolezaji |(Picha Zote Na Fahadi Siraji Wa UVCCM)


Hivyo makala KATIBU MKUU UVCCM AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JOHN GUNINITA IFAKARA WILAYANI KOLOMBELO LEO.

yaani makala yote KATIBU MKUU UVCCM AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JOHN GUNINITA IFAKARA WILAYANI KOLOMBELO LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU UVCCM AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JOHN GUNINITA IFAKARA WILAYANI KOLOMBELO LEO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/katibu-mkuu-uvccm-aongoza-mamia-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KATIBU MKUU UVCCM AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JOHN GUNINITA IFAKARA WILAYANI KOLOMBELO LEO."

Post a Comment

Loading...