Loading...

KOCHA SIMBA DJUMA AZUNGUMZIA SAKATA LA KUBAKI DAR.

Loading...
KOCHA SIMBA DJUMA AZUNGUMZIA SAKATA LA KUBAKI DAR. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KOCHA SIMBA DJUMA AZUNGUMZIA SAKATA LA KUBAKI DAR., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KOCHA SIMBA DJUMA AZUNGUMZIA SAKATA LA KUBAKI DAR.
link : KOCHA SIMBA DJUMA AZUNGUMZIA SAKATA LA KUBAKI DAR.

soma pia


KOCHA SIMBA DJUMA AZUNGUMZIA SAKATA LA KUBAKI DAR.

Baada ya kusikosa safari mbili za klabu ya Simba kuelekea mkoani, Kocha Msaidizi wa timu hiyo, Masoud Djuma, amesema kuwa amebakia Dar es Salaam kwa majukumu makubwa mawili.

Taarifa imeeleza kuwa Djuma amesema hakuweza kuambatana na kikosi cha Simba kuelekea Mtwara pamoja na Mwanza kutokana na kupewa majukumu na Kocha Mkuu, Patrick Aussems ya kuwasoma Yanga wakicheza Taifa.

Djuma alihudhuria mechi ya Yanga jana dhidi ya Coastal Union ili kujua timu hiyo mbinu inazozitumia kuelekea mechi yao ya watani wa jadi Septemba 30 2018.

Mbali na kuwapigia chapuo Yanga, Djuma amesema amesalia Dar es Salaam kuendelea kuwanoa wachezaji ambao hawasafiri na kikosi kwenda Mwanza kucheza na Mbao ili kuwaweka fiti zaidi.

Juuko Murushid pamoja na Haruna Niyonzima, ni baadhi ya wachezaji ambao wapo kwenye program hiyo chini ya Djuma wakijifua kurejesha makali yao baada ya kutokuwa na timu kwa muda mrefu


Hivyo makala KOCHA SIMBA DJUMA AZUNGUMZIA SAKATA LA KUBAKI DAR.

yaani makala yote KOCHA SIMBA DJUMA AZUNGUMZIA SAKATA LA KUBAKI DAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KOCHA SIMBA DJUMA AZUNGUMZIA SAKATA LA KUBAKI DAR. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/kocha-simba-djuma-azungumzia-sakata-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KOCHA SIMBA DJUMA AZUNGUMZIA SAKATA LA KUBAKI DAR."

Post a Comment

Loading...