Loading...

KATIBU MKUU WA UVCCM KUZINDUA ALBAM YA MSANII MGEGO TAREHE 30 /09 /2018 MKOANI IRINGA

Loading...
KATIBU MKUU WA UVCCM KUZINDUA ALBAM YA MSANII MGEGO TAREHE 30 /09 /2018 MKOANI IRINGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KATIBU MKUU WA UVCCM KUZINDUA ALBAM YA MSANII MGEGO TAREHE 30 /09 /2018 MKOANI IRINGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KATIBU MKUU WA UVCCM KUZINDUA ALBAM YA MSANII MGEGO TAREHE 30 /09 /2018 MKOANI IRINGA
link : KATIBU MKUU WA UVCCM KUZINDUA ALBAM YA MSANII MGEGO TAREHE 30 /09 /2018 MKOANI IRINGA

soma pia


KATIBU MKUU WA UVCCM KUZINDUA ALBAM YA MSANII MGEGO TAREHE 30 /09 /2018 MKOANI IRINGA

NA FREDY MGUNDA,IRINGA
KATIBU mkuu wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) taifa kuwa mgeni rasmi katika uzindua albam ya nyimbo za injili ya msanii James Mgego wa mkoani Iringa inayoitwa “Achani Mungu Aitwe Mungu” na uzinduzi huo utafanyika katika ukumbi wa HIGHLAND HALL uliopo mjini iringa tarehe 30 /09 /2018.

Akizungumzia uzinduzi huo msanii wa nyimbo za injili James Mgego alisema kuwa anatarajia kuzindua albam yenye nyimbo tisa zilizotengenezwa katika studio za Nice zilizopo mkoani Iringa.

Mgego alisema kuwa mgeni rasmi atakuwa katibu mkuu wa umoja wa vijana ndugu Raymond Mwangwala(MNEC) na viongozi wengi wa serikali na wakisiasa kutoka mkoani Iringa na nje ya mkuoa wa Iringa.

Katika uzinduzi huo kutakuwa na kwaya mbalimbali ambazo zitatumbuiza kama vile TAC kwaya Anglicana, Nuru kwaya Anglicana,TAG Mlandege,Mhimidini Mlandege,Kwaya ya vijana kanisa kuu,kwaya mkuu kihesa,uinjilisti KKKT Ipogolo, uinjilisti KKKT PHM frelimo,kwaya ya vijana kitwilu,RC Mshindo,ACT fellowship,Faith kwaya tumain, RC kichangani kihesa,Sayuni Anglican Ipogolo na Elishadai Anglican Ilula.

Aidha Mgego alisema kuwa kutakuwepo na waimbaji maalufu na mashuhuri wa nyimbo za injili ndani na nje ya mkoa wa Iringa watakuwepo kama vile DR Tumaini Msowoya,Nesta Sanga,Ntimiza Rwiza,Samson Kihombo,faraja kigula,Mwl Senje,mama masawe mwamvita,Petro Chetenge,Raymond Mwalisu,Tukuswiga Ikoso na wengine wengi.

Mgego alisema kuwa anawakabiribisha wananchi wote katika uzinduzi huo ambapo hakutakuwa na kiingilio chochote kile.


Hivyo makala KATIBU MKUU WA UVCCM KUZINDUA ALBAM YA MSANII MGEGO TAREHE 30 /09 /2018 MKOANI IRINGA

yaani makala yote KATIBU MKUU WA UVCCM KUZINDUA ALBAM YA MSANII MGEGO TAREHE 30 /09 /2018 MKOANI IRINGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU WA UVCCM KUZINDUA ALBAM YA MSANII MGEGO TAREHE 30 /09 /2018 MKOANI IRINGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/katibu-mkuu-wa-uvccm-kuzindua-albam-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KATIBU MKUU WA UVCCM KUZINDUA ALBAM YA MSANII MGEGO TAREHE 30 /09 /2018 MKOANI IRINGA"

Post a Comment

Loading...