Loading...

MAKAMU WA RAIS AZINDUA BARABARA MPYA YA BONITE MOSHI MANISPAA

Loading...
MAKAMU WA RAIS AZINDUA BARABARA MPYA YA BONITE MOSHI MANISPAA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AZINDUA BARABARA MPYA YA BONITE MOSHI MANISPAA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AZINDUA BARABARA MPYA YA BONITE MOSHI MANISPAA
link : MAKAMU WA RAIS AZINDUA BARABARA MPYA YA BONITE MOSHI MANISPAA

soma pia


MAKAMU WA RAIS AZINDUA BARABARA MPYA YA BONITE MOSHI MANISPAA


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Meya wa Manispaa ya Moshi Ndugu Raymond Mboya wakati wa kuweka jiwe la msingi la ufunguzi wa barabara ya Bonite yenye urefu wa kilomita 2.93, wengine pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira(katikati),Mkuu wa Wilaya ya Moshi Ndugu Kippi Warioba na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo (kushoto).
Makamu wa Rais yupo mkoani Kilimanjaro kwenye ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ufunguzi wa barabara Bonite yenye urefu wa kilomita 2.93 iliyojengwa kwa kiwango cha lami wengine pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira(katikati), Meya wa Manispaa ya Moshi Ndugu Raymond Mboya (kulia)  Mkuu wa Wilaya ya Moshi Ndugu Kippi Warioba na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo (kushoto).Makamu wa Rais yupo mkoani Kilimanjaro kwenye ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa barabara ya Bonite yenye urefu wa kilomita 2.93 iliyopo Moshi Manispaa. Makamu wa Rais yupo mkoani Kilimanjaro kwenye ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AZINDUA BARABARA MPYA YA BONITE MOSHI MANISPAA

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AZINDUA BARABARA MPYA YA BONITE MOSHI MANISPAA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AZINDUA BARABARA MPYA YA BONITE MOSHI MANISPAA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/makamu-wa-rais-azindua-barabara-mpya-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AZINDUA BARABARA MPYA YA BONITE MOSHI MANISPAA"

Post a Comment

Loading...