Loading...

MADIWANI CHADEMA WAZIDI KUHAMIA CCM, ARUMERU NAKO KUNA JAMBO.

Loading...
MADIWANI CHADEMA WAZIDI KUHAMIA CCM, ARUMERU NAKO KUNA JAMBO. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MADIWANI CHADEMA WAZIDI KUHAMIA CCM, ARUMERU NAKO KUNA JAMBO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MADIWANI CHADEMA WAZIDI KUHAMIA CCM, ARUMERU NAKO KUNA JAMBO.
link : MADIWANI CHADEMA WAZIDI KUHAMIA CCM, ARUMERU NAKO KUNA JAMBO.

soma pia


MADIWANI CHADEMA WAZIDI KUHAMIA CCM, ARUMERU NAKO KUNA JAMBO.



Diwani wa kata ya Nkoanekoli katika Halmashauri ya Meru wilayani Arumeru kupitia (Chadema), Ndg. Wilson Nanyaro  ameandika barua ya kujiuzulu udiwani na kujiunga na chama a Mapinduzi CCM kwa maelezo kwamba anamuunga mkono Rais John Magufuli.

Nanyaro ni diwani wa kumi na moja katika Halmashauri ya Meru kujiuzulu kwa kwa kipindi hiki  kwa kumuunga mkono Rais Magufuli.

Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo, Ndg. Emanuel Mkongo amethibitisha leo (September 27 ) kupata taarifa za kujiuzulu kwa Nanyaro.


Hivyo makala MADIWANI CHADEMA WAZIDI KUHAMIA CCM, ARUMERU NAKO KUNA JAMBO.

yaani makala yote MADIWANI CHADEMA WAZIDI KUHAMIA CCM, ARUMERU NAKO KUNA JAMBO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MADIWANI CHADEMA WAZIDI KUHAMIA CCM, ARUMERU NAKO KUNA JAMBO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/madiwani-chadema-wazidi-kuhamia-ccm.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MADIWANI CHADEMA WAZIDI KUHAMIA CCM, ARUMERU NAKO KUNA JAMBO."

Post a Comment

Loading...