Loading...

MAJALIWA AKUTANA NA WAZIRI WA KILIMO WA CHINA

Loading...
MAJALIWA AKUTANA NA WAZIRI WA KILIMO WA CHINA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA AKUTANA NA WAZIRI WA KILIMO WA CHINA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA AKUTANA NA WAZIRI WA KILIMO WA CHINA
link : MAJALIWA AKUTANA NA WAZIRI WA KILIMO WA CHINA

soma pia


MAJALIWA AKUTANA NA WAZIRI WA KILIMO WA CHINA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Kilimo wa China, Bw. Han Changfu wakati alipotembelea Wizara ya Kilimo ya nchi hiyo iliyopo Beijing Septemba 3, 2018. Majaliwa yupo nchini China kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano Kati ya Afrika na China – FOCAC



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Kilimo wa China, Bw. Han Changfu (kushoto) wakati alipotembelea Wizara hiyo iliyopo Beijing, Septemba 3, 2018.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Kilimo wa China, Bw. Han Chanfu wakishuhudia utiaji saini wa Makubaliano ya Ushirikiano katika masuala ya Uvuvi kati ya China na Tanzania kwenye ukumbi wa Wizara ya Kilimo ya China katika jiji la Beijing, Septemba 3, 2018. Wanaotia Saini ni Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Zanzibar, Rashid Ali Juma (kushoto) na Naibu Waziri wa Kilimo wa China, Qu Dongyu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Kilimo wa China, Bw. Han Chanfu (wanne kulia) na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga (kushoto) baada ya mazungumzo yao kwenye ukumbi wa wizara hiyo jijini Beijing, Septemba 3, 2018. Wengine pichani ni Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Zanzibar, Rashid Ali Juma. (wapili kushoto), Balozi wa China nchini Tanzania, Wang Ke (watatu kushoto), Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki na Naiba Waziri wa Kilimo wa China, Qu Dongyu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na ujumbe wake wakiagana na viongozi wa Wizara ya Kilimo ya China baada ya mazungumzo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Wizara hiyo, Beijing nchini China, Septemba 3, 2018. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala MAJALIWA AKUTANA NA WAZIRI WA KILIMO WA CHINA

yaani makala yote MAJALIWA AKUTANA NA WAZIRI WA KILIMO WA CHINA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AKUTANA NA WAZIRI WA KILIMO WA CHINA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/majaliwa-akutana-na-waziri-wa-kilimo-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAJALIWA AKUTANA NA WAZIRI WA KILIMO WA CHINA"

Post a Comment

Loading...