Loading...

MASHIRIKA YATAKIWA KUHUDUMIA JAMII KWA KURUDISHA FAIDA WANAYOPATA

Loading...
MASHIRIKA YATAKIWA KUHUDUMIA JAMII KWA KURUDISHA FAIDA WANAYOPATA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MASHIRIKA YATAKIWA KUHUDUMIA JAMII KWA KURUDISHA FAIDA WANAYOPATA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MASHIRIKA YATAKIWA KUHUDUMIA JAMII KWA KURUDISHA FAIDA WANAYOPATA
link : MASHIRIKA YATAKIWA KUHUDUMIA JAMII KWA KURUDISHA FAIDA WANAYOPATA

soma pia


MASHIRIKA YATAKIWA KUHUDUMIA JAMII KWA KURUDISHA FAIDA WANAYOPATA

Na Ahmed Mahmoud ,Arusha

Taasisi na mashirika mbali mbali hapa nchini yametakiwa kurudisha sehemu ya faida wanayo ipata ili kuhudumia Huduma za kijamii zikiwemo Mausala ya afya elimu na watoto wasiojiweza Sanjari na maafa mbali mbali

Akizungumza wakati akitoa msaada kwenye shule ya Msingi na ufundi Sing’isi wilayani Arumeru mkoani Arusha mkuu wa idara ya wateja masoko na mawasiliano wa Benki ya CBA bwana Julias Konyani amesema kwamba katika faida wanayo ipata watakikisha wanaendelea kusaidia sekta ya elimu nchini

Aidha ameyataka mashirika mbali mbali kuona namna ya kurudisha faida wanayopta katika kuhudumia masuala mbali mbali ya kijamii ikiwemo kusaidiana na serikali katika hatua mbali mbali za kuwaleta maendeleo wananchi hususani benki hiyo ilipokuwa ikikabidhi hundi ya kiasi cha shilingi milioni 4 katika shule ya msingi na ufundi ya Sing’isi 

Amezitaka taasisi mbali mbali kujitokeza katika kuunga mkono jitihada za serikali ya awamu ya tano ya ,kutoa elimu bure na kuwawezesha wanafunzi kupata elimu ya awali bila kuwepo na changamoto ya madarasa pamoja na uhaba wa vitabu vya kiada na ziada kwa ajili ya kusoma na kufundishia

Mwalimu mkuu wa shule hiyo ya Singisi Safira Ndelwa ametaja changamoto mbali mbali zinazoikabili shule hiyo kuwa ni uchakavu wa miundo mbinu ya majengo katika shule hiyo ikiwemo uhaba wa vyumba vya kusomea na uzio wa shule.‘’Shule hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo uzio uhaba wa vyumba vya madarasa mashine ya kuchapisha mitihani pamoja na nyumba za walimu ‘’alisema mwalimu Ndelwa

Mmoja wa wanafunzi wa shule hiyo Anjela Izack ameshukuru benki hiyo kwa msaada huo na kuomba kuongezewa madarasa mawili kwa lengo la kuondoa usumbufu wa wanafunzi wenzake kusoma kwa awamu mbili kwani wanachoka na masomo yao na kujikuta wakishindwa kushika masomo na maendeleo kushuka.
Sehemu ya Wanafunzi wa shule ya msingi na ufundi Sing'isi wakiwa na mfano wa hundi waliokabidhiwa na benki ya CBA jana wilayani Arumeru 
Pichani ni Mkuu wa idara ya wateja masoko na mawasiliano wa Benki ya CBA bwana Julias Konyani akiwa na mwalim mkuu wa shule ya ufundi na msingi Sing'isi Safira Ndelwa wakati wa makabidhiano ya Hundi kutoka Benki ya CBA picha zote na mahamoud ahamd Meru


Hivyo makala MASHIRIKA YATAKIWA KUHUDUMIA JAMII KWA KURUDISHA FAIDA WANAYOPATA

yaani makala yote MASHIRIKA YATAKIWA KUHUDUMIA JAMII KWA KURUDISHA FAIDA WANAYOPATA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MASHIRIKA YATAKIWA KUHUDUMIA JAMII KWA KURUDISHA FAIDA WANAYOPATA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/mashirika-yatakiwa-kuhudumia-jamii-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MASHIRIKA YATAKIWA KUHUDUMIA JAMII KWA KURUDISHA FAIDA WANAYOPATA"

Post a Comment

Loading...