Loading...
title : WABUNGE WAALIKWA NA BUNGE LA CHINA KUSHIRIKI SEMINA YAKUJENGEWA UWEZO
link : WABUNGE WAALIKWA NA BUNGE LA CHINA KUSHIRIKI SEMINA YAKUJENGEWA UWEZO
WABUNGE WAALIKWA NA BUNGE LA CHINA KUSHIRIKI SEMINA YAKUJENGEWA UWEZO
Kushoto katika picha ni Mheshimiwa Maida Abdallah, akifuatiwa na Mheshimiwa Munira Khatib, Mheshimiwa Kiza Mayeye, Mheshimiwa Joram Hongoli na mwisho kulia ni Mheshimiwa Fredy Mwakibete.
Mheshimiwa Kiza Mayeye akichangia mada katika semina hiyo. Semina hiyo iliwakilishwa na nchi saba za bara la Afrika na Asia.
Mheshimiwa Fredy Mwakibete ambaye ndiye Mwenyekiti wa Msafara huo wa wabunge akitoa neon la shukrani baada ya kumalizika kwa semina hiyo. Semina ilikuwa inahusu kupeana mikakati mbalimbali ya kuweza kufanikisha malengo 17 ya millennia. Wabunge walipata kujifunza kutoka China ambao wamekuwa mara zote walitimiza malengo ya millennia kwa wakati.
Hivyo makala WABUNGE WAALIKWA NA BUNGE LA CHINA KUSHIRIKI SEMINA YAKUJENGEWA UWEZO
yaani makala yote WABUNGE WAALIKWA NA BUNGE LA CHINA KUSHIRIKI SEMINA YAKUJENGEWA UWEZO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WABUNGE WAALIKWA NA BUNGE LA CHINA KUSHIRIKI SEMINA YAKUJENGEWA UWEZO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/wabunge-waalikwa-na-bunge-la-china.html
0 Response to "WABUNGE WAALIKWA NA BUNGE LA CHINA KUSHIRIKI SEMINA YAKUJENGEWA UWEZO"
Post a Comment