Loading...

MBELGIJI SIMBA KUIVAA MBAO FC LEO.

Loading...
MBELGIJI SIMBA KUIVAA MBAO FC LEO. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBELGIJI SIMBA KUIVAA MBAO FC LEO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBELGIJI SIMBA KUIVAA MBAO FC LEO.
link : MBELGIJI SIMBA KUIVAA MBAO FC LEO.

soma pia


MBELGIJI SIMBA KUIVAA MBAO FC LEO.

Kocha Mkuu wa klabu ya Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, jana alitumia dakika 40 pekee kuwaandaa wachezaji wake tayari kwa mtanange wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbao FC leo.

Mbelgiji huyo alitumia dakika hizo kwa ajili ya kuwanoa wachezaji wake namna ya kushambualia na kumalizia uzuri pasi za mwisho.


Aussems hakutaka kuwachosha zaidi wachezaji kwani anajua ugumu wa mechi za mikoani kutokana na changamoto aliyoipata dhidi ya Ndanda FC kwenye mechi iliyopita.

Simba inakutana na Mbao ambayo ina hasira ya kupoteza mechi ya mwisho dhidi ya JKT Tanzania huku wakiumizwa na watani zao wa jadi Yanga ambao wameshinda dhidi ya Coastal Union jana.

Kuelekea mechi hiyo, Simba itazidi kuwakosa baadhi ya wachezaji wake nyota ikiwemo Juuko Murushid na Haruna Niyonzima ambao wamesalia Dar es Salaam kuendelea na program maalum inayoongozwa na Kocha Msaidizi, Masoud Djuma


Hivyo makala MBELGIJI SIMBA KUIVAA MBAO FC LEO.

yaani makala yote MBELGIJI SIMBA KUIVAA MBAO FC LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBELGIJI SIMBA KUIVAA MBAO FC LEO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/mbelgiji-simba-kuivaa-mbao-fc-leo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBELGIJI SIMBA KUIVAA MBAO FC LEO."

Post a Comment

Loading...