Loading...
title : Meli ya Kwanza iliyobeba Tani 7,250 za Reli za SGR kutoka Japan yawasili nchini
link : Meli ya Kwanza iliyobeba Tani 7,250 za Reli za SGR kutoka Japan yawasili nchini
Meli ya Kwanza iliyobeba Tani 7,250 za Reli za SGR kutoka Japan yawasili nchini
Meli ya Kwanza iliyobeba Tani 7,250 za Reli za SGR kutoka Japan imetia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam na kazi ya kupakua reli na kupeleka eneo la ujenzi imeanza jana Septemba 06, 2018 tayari kwa ajili ya kutandika reli. Meli nyingine ya Reli za SGR inatarajiwa kufika mwezi Oktoba 2018.
Meli iliyobeba Tani 7,250 za Shehena ya Reli za SGR ikiwa katika Bandari ya Dar es Salaam Septemba 06, 2018.
Kazi ya kupakia Shehena ya Reli za SGR ikiendelea katika Bandari ya Dar es Salaam Septemba 06, 2018.
Tani 7,250 za Shehena ya Reli za SGR zikipakuliwa kutoka kwenye Meli katika Bandari ya Dar es Salaam Septemba 06, 2018.
Kazi ya kupakia Reli kwenye mabehewa ikiendelea katika Bandari ya Dar es Salaam Septemba 06, 2018.

Hivyo makala Meli ya Kwanza iliyobeba Tani 7,250 za Reli za SGR kutoka Japan yawasili nchini
yaani makala yote Meli ya Kwanza iliyobeba Tani 7,250 za Reli za SGR kutoka Japan yawasili nchini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Meli ya Kwanza iliyobeba Tani 7,250 za Reli za SGR kutoka Japan yawasili nchini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/meli-ya-kwanza-iliyobeba-tani-7250-za.html
0 Response to "Meli ya Kwanza iliyobeba Tani 7,250 za Reli za SGR kutoka Japan yawasili nchini"
Post a Comment