Loading...
title : MGENI RASMI MECHI YA SIMBA NA YANGA SPIKA JOB NDUGAI
link : MGENI RASMI MECHI YA SIMBA NA YANGA SPIKA JOB NDUGAI
MGENI RASMI MECHI YA SIMBA NA YANGA SPIKA JOB NDUGAI
Mgeni rasmi katika mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga, Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai akiwa ameongozana na Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakwembe pamoja na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinzia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakiingia uwanjani kwa ukaguzi wa vikosi hivyo, kabla ya kuanza kwa mchezo, uliopigwa jioni ya leo kwenye Dimba ya Taifa, jijini Dar es salaam. Mchezo huo umemalizika kwa sare ya 0-0.
Hivyo makala MGENI RASMI MECHI YA SIMBA NA YANGA SPIKA JOB NDUGAI
yaani makala yote MGENI RASMI MECHI YA SIMBA NA YANGA SPIKA JOB NDUGAI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MGENI RASMI MECHI YA SIMBA NA YANGA SPIKA JOB NDUGAI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/mgeni-rasmi-mechi-ya-simba-na-yanga.html
0 Response to "MGENI RASMI MECHI YA SIMBA NA YANGA SPIKA JOB NDUGAI"
Post a Comment