Loading...
title : MIILI ZAIDI YA 125 WALIOFARIKI YAOPOLEWA ZIWA VICTORIA
link : MIILI ZAIDI YA 125 WALIOFARIKI YAOPOLEWA ZIWA VICTORIA
MIILI ZAIDI YA 125 WALIOFARIKI YAOPOLEWA ZIWA VICTORIA
Mpaka saa Saa 7:00 Mchana, Septemba 2,2018 Miili zaidi ya 125 imepatikana zoezi la uokoaji linaendelea
Mpaka sasa miili zaidi ya 125, imepatikana katika ajali ya kivuko cha MV. Nyerere kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella na zoezi la uokoaji linaendelea
Saa 6:40 Mchana, Septemba 21: Jeshi la Polisi kufungua Jalada la uchunguzi
Mkuu wa Jeshi la Polisi, Nchini (IGP) Simon Sirro amesema kuwa litafunguliwa Jalada maalum la kuchunguza tukio la kuzama kwa kivuko cha MV. Nyerere jana, Septemba 20 mita chache kabla ya kuwasili katika kisiwa cha Ukara.
IGP Sirro amesema kuwa kwa sasa zoezi la utambuzi wa miili iliyopatikana linaendelea huku pia uokoaji ukiendelea ili kutafuta wengine ambao hawajapatikana.
Hivyo makala MIILI ZAIDI YA 125 WALIOFARIKI YAOPOLEWA ZIWA VICTORIA
yaani makala yote MIILI ZAIDI YA 125 WALIOFARIKI YAOPOLEWA ZIWA VICTORIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MIILI ZAIDI YA 125 WALIOFARIKI YAOPOLEWA ZIWA VICTORIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/miili-zaidi-ya-125-waliofariki.html
0 Response to "MIILI ZAIDI YA 125 WALIOFARIKI YAOPOLEWA ZIWA VICTORIA"
Post a Comment