Mzee Mwinyi kuwa Mgeni rasmi Maadhimisho siku ya Wazee Kitaifa jijini Arusha , - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mzee Mwinyi kuwa Mgeni rasmi Maadhimisho siku ya Wazee Kitaifa jijini Arusha ,, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Mzee Mwinyi kuwa Mgeni rasmi Maadhimisho siku ya Wazee Kitaifa jijini Arusha ,link :
Mzee Mwinyi kuwa Mgeni rasmi Maadhimisho siku ya Wazee Kitaifa jijini Arusha ,
soma pia
Mzee Mwinyi kuwa Mgeni rasmi Maadhimisho siku ya Wazee Kitaifa jijini Arusha ,
Wakati tukielekea kusherehekea siku ya wazee septemba 30 imeelezwa kuwa zaidi ya asilimia 80% (takriban mil2)ya wazee hapa nchini wanaishi vijijini.
Akizungumza na vyombo vya habari kamishna wa ustawi wa jamii kutoka wizara ya Afya jinsia wazee na watoto Dkt. Naftali Ng’ondi amesema kuwa juhudi za ziada zinashitajika ili kuwafikia na kuweza kuhakikisha wanapata huduma stahiki kama ilivyo katika sera ya Taifa
Ng'ondi amesema maadhimisho ya siku ya wazee duniani kitaifa yatafanyika jijini Arusha ambapo mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais mstaafu wa awamu ya pili Mzee Alhaji Ally Hassan Mwinyi
Aidha kwa mujibu wa shirika la Help Age International limeweka wazi kuwa hapa nchini asilimia 27% ya wazee wote (677,043) wanaishi wenyewe bila msaada wa mtu yeyote.Amesema kuwa zaidi ya asilimia 83% ya wazee wote (2.1m) wanaishi katika familia na kupata angalau matunzo ya familia tofauti na wenzao ambao wanaisha wangali pekee yao
Nchini Tanzania kuna familia ambazo wazee wamekuwa wakibeba majukumu ya kuwalea watoto yatima kama takwimu zinavyoonyesha asilimia 40% ya watoto yatima wanalelewa na familia za wazee.Mara baada ya uzinduzi wake kesho wazee watapata fursa ya kupata huduma ya kupima afya kupata ushauri wa kitabibu pamoja na ufunguzi wa maonyesho ya kazi mbali mbali za mikono zinazofanywa na wazee.
Kauli mbiu ya mwaka huu ni “Wazee ni Hazina ya Taifa: Tuenzi Juhudi za Kutetea Haki na Ustawi Wao’’. Kaulimbiu hii inahimiza Serikali na Jamii kwa ujumla kutambua na kuenzi jitihada za Wazee katika ujenzi wa Taifa letu.“Tarehe moja mwezi ujao itakuwa siku ya wazee nawaombeni nyote kujitokeza kwa wingi wakiwemo wazee wetu kwenye uwanja wa sheikh Amri Abeid”alisema Dkt.Ng’ondi
Mmoja ya wazee aliohojiwa mkazi wa jiji la Arusha Swalehe Allly amesema kuwa Serikali ya awamu ya tano inatakiwa kuonyesha juhudi zake kwa kuwaandalia wazee wetu angalau pensheni kama takwimu zinavyoonyesha kuwa Tanzania Bara 96% ya wazee wote hawana pension ya uzeeni
Amesema kuwa tuige mfano na kuonyesha juhudi za serikali ya mapinduzi Zanzibar kwa kuwapatia Wazee 58,371 kati yao 27,000,(46 %) wanapata pesheni Wenye umri wa Miaka 70.“Hapa utaona jinsi maisha ya uzee yalivyo kuwa na mtihani kama juhudi za maksudi hazitachukuliwa na serikali zetu kote ulimwenguni kuhakikisha wazee wanapata matunzo stahiki kama tawimu hizi” alisema Ally
Imeonyesha juhudi kama hazitachukuliwa na kufanyiwa kazi, asilimia Zaidi ya 50% ya familia za wazee wanaishi chini ya kiwango cha umaskini. kigezo- Benki ya Dunia.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Alhaji Ally Hassan Mwinyi (picha kutoka Maktaba)
Hivyo makala Mzee Mwinyi kuwa Mgeni rasmi Maadhimisho siku ya Wazee Kitaifa jijini Arusha ,
yaani makala yote Mzee Mwinyi kuwa Mgeni rasmi Maadhimisho siku ya Wazee Kitaifa jijini Arusha , Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mzee Mwinyi kuwa Mgeni rasmi Maadhimisho siku ya Wazee Kitaifa jijini Arusha , mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/mzee-mwinyi-kuwa-mgeni-rasmi.html
0 Response to "Mzee Mwinyi kuwa Mgeni rasmi Maadhimisho siku ya Wazee Kitaifa jijini Arusha ,"
Post a Comment