Loading...
title : NIPE FAGIO NA WADAU WA MAZINGIRA WAFANYA USAFI COCO BEACH IKIWA MAANDALIZI YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI SEPT 15, 2018
link : NIPE FAGIO NA WADAU WA MAZINGIRA WAFANYA USAFI COCO BEACH IKIWA MAANDALIZI YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI SEPT 15, 2018
NIPE FAGIO NA WADAU WA MAZINGIRA WAFANYA USAFI COCO BEACH IKIWA MAANDALIZI YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI SEPT 15, 2018
Meya wa Jiji la Dar es salaam Mh. Isaya Mwita akiongea na wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliojitokeza katika usafi wa mazingira katika ufukwe wa Coco Dar es salaam ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Siku ya Usafi Duniani itakayofanyika tarehe 15 Septemba 2018 kupitia kampeni ya Let’s Do It Tanzania. Pembeni ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Nipe Fagio, Bi, Ana Rocha (Kushoto)
Wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliojitokeza katika usafi wa mazingira katika ufukwe wa Coco Dar es salaam ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Siku ya Usafi Duniani itakayofanyika tarehe 15 Septemba 2018 kupitia kampeni ya Let’s Do It Tanzania.
Meya wa Jiji la Dar es salaam Mh. Isaya Mwita (Kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Nipe Fagio, Bi, Ana Rocha na Naibu Balozi wa Sweden ambae pia Mkuu wa ushirikiano na maendeleo Mh. Ulf Kallstig wakifanya usafi katika tukio lililofanyika ufukwe wa Coco Dar es salaam ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Siku ya Usafi Duniani itakayofanyika tarehe 15 Septemba 2018 kupitia kampeni ya Let’s Do It Tanzania.
Hivyo makala NIPE FAGIO NA WADAU WA MAZINGIRA WAFANYA USAFI COCO BEACH IKIWA MAANDALIZI YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI SEPT 15, 2018
yaani makala yote NIPE FAGIO NA WADAU WA MAZINGIRA WAFANYA USAFI COCO BEACH IKIWA MAANDALIZI YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI SEPT 15, 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NIPE FAGIO NA WADAU WA MAZINGIRA WAFANYA USAFI COCO BEACH IKIWA MAANDALIZI YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI SEPT 15, 2018 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/nipe-fagio-na-wadau-wa-mazingira.html
0 Response to "NIPE FAGIO NA WADAU WA MAZINGIRA WAFANYA USAFI COCO BEACH IKIWA MAANDALIZI YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI SEPT 15, 2018"
Post a Comment