Loading...

China Kushirikiana na Nchi za Afrika Katika Mambo Nane

Loading...
China Kushirikiana na Nchi za Afrika Katika Mambo Nane - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa China Kushirikiana na Nchi za Afrika Katika Mambo Nane, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : China Kushirikiana na Nchi za Afrika Katika Mambo Nane
link : China Kushirikiana na Nchi za Afrika Katika Mambo Nane

soma pia


China Kushirikiana na Nchi za Afrika Katika Mambo Nane

Na Mwandishi Wetu, MAELEZO

Beijing-CHINA

RAIS wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping amesema, Serikali ya nchi hiyo ipo tayari kushirikiana na Afrika katika maeneo makubwa nane katika kipindi cha miaka mitatu ijayo itayojikita katika masuala ya viwanda, miundombinu, biashara, kilimo, ulinzi na usalama pamoja na mazingira. 

Akifungua Mkutano wa Tatu wa Jukwaa la Ushirikiano wa China na Bara la Afrika (FOCAC) leo Beijing China na Rais Xi Jinping ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jukwaa hilo amesema katika masuala ya viwanda, uchumi wa Bara la Afrika na usafirishaji wa bidhaa utaendelea kupewa kipaumbele na Serikali ya China pamoja na makampuni yake yanahimizwa kuwekeza katika nchi za Afrika.

Kuhusu sekta ya kilimo, Rais Xi Jinping alisema Serikali ya China imepanga kuanzisha miradi 50 itayogharimu kiasi cha Yuan Bilioni 1 (Dola Milioni 147) itayosaidia masuala ya dharura na majanga mbalimbali ya kibinadamu sambamba na hilo, Rais Xi Jinping ameahidi kupeleka wataalamu 500 wa masuala ya kilimo ili kusaidia maendeleo ya sekta hiyo Barani Afrika.

Akizungumzia kuhusu masuala ya miundombinu, Rais Xi Jinping amesema Serikali ya China itafanya juhudi na Umoja wa Afrika kuunda mpango wa ushirikiano wa Miundombinu baina ya Bara la Afrika na China na kusaidia makampuni ya Serikali ya China kupata fursa ya ujenzi wa miradi mbalimbali.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping katika Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano Kati ya China na Afrika uliofunguliwa na Rais huyo kwenye ukumbi wa Great Hall of the People uliopo Beijing, Septemba 3, 2018. Mheshimwa Majaliwa amemwakilisha Rais, Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
 .



Hivyo makala China Kushirikiana na Nchi za Afrika Katika Mambo Nane

yaani makala yote China Kushirikiana na Nchi za Afrika Katika Mambo Nane Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala China Kushirikiana na Nchi za Afrika Katika Mambo Nane mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/china-kushirikiana-na-nchi-za-afrika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "China Kushirikiana na Nchi za Afrika Katika Mambo Nane"

Post a Comment

Loading...