Loading...
title : OFISA MTENDAJI MKUU DAWASA MHANDISI LUHEMEJA AANZA KAZI KWA KISHINDO
link : OFISA MTENDAJI MKUU DAWASA MHANDISI LUHEMEJA AANZA KAZI KWA KISHINDO
OFISA MTENDAJI MKUU DAWASA MHANDISI LUHEMEJA AANZA KAZI KWA KISHINDO
Na Ripota Wetu,Globu ya jamii
OFISA Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja ametembelea mradi wa maji wa Chalinze ili kujionea maendeleo ya mradi na kupanga utaratibu wa kuongeza kasi ya ujenzi.
Ametembelea mradi huo ikiwa ni siku yake ya nne tangu kutangazwa rasmi Septemba 8 mwaka, amefanya maamuzi ya kuongeza nguvu katika usimamizi na kutaka mkandarasi wa Kampuni ya OIA ya India kutekeleza kazi usiku na mchana ili kuleta matokeo yanayotarajiwa.
Akizungumzia mradi huo Mhandisi Luhemeja amesema mradi utazinduliwa Desemba mwaka 2018.
Leo pia anaendelea na ziara katika miradi ya usambazaji maji.
Hivyo makala OFISA MTENDAJI MKUU DAWASA MHANDISI LUHEMEJA AANZA KAZI KWA KISHINDO
yaani makala yote OFISA MTENDAJI MKUU DAWASA MHANDISI LUHEMEJA AANZA KAZI KWA KISHINDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala OFISA MTENDAJI MKUU DAWASA MHANDISI LUHEMEJA AANZA KAZI KWA KISHINDO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/ofisa-mtendaji-mkuu-dawasa-mhandisi.html
0 Response to "OFISA MTENDAJI MKUU DAWASA MHANDISI LUHEMEJA AANZA KAZI KWA KISHINDO"
Post a Comment