Loading...

TAWA yawakamata,pokonya baiskeli 60, Nyaya 100 za majangiri

Loading...
TAWA yawakamata,pokonya baiskeli 60, Nyaya 100 za majangiri - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAWA yawakamata,pokonya baiskeli 60, Nyaya 100 za majangiri, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAWA yawakamata,pokonya baiskeli 60, Nyaya 100 za majangiri
link : TAWA yawakamata,pokonya baiskeli 60, Nyaya 100 za majangiri

soma pia


TAWA yawakamata,pokonya baiskeli 60, Nyaya 100 za majangiri

 Mofisa wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA), katika Pori la Akiba Selous Kanda ya Kaskazini Magharibi -Msolwa wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi na Kijiji cha Msolwa Station Kilombero mkoani Morogoro mara baada ya kutembelea Shule ya Msingi Ukombozi kujionea mchango wa uhifadhi kutoka kampuni za uwindaji wa kitalii. 
 Afisa Habari na Mawasiliano wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA),Twaha Twaibu kushoto akiwa na Mkuu wa Kanda ya Kaskazini Magharibi-Msolwa Pori la Akiba Selous Augustine Ngimilanga wakiangalia baiskeli zilizotumiwa na majangiri kubebea wanyamapori.
 Mofisa wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA), katika Pori la Akiba Selous Kanda ya Kaskazini Magharibi -Msolwa wakiwa katika picha ya  na viongozi na Kijiji cha Msolwa Station Kilombero mkoani Morogoro baada ya kutembelea jengo la Ofisi ya Kijiji cha Msolwa Station linalojengwa kwa fedha kutoka kampuni za uwindaji wa kitalii. 

NA RIPOTA WETU,KILOMBERO
MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA), katika kipindi cha mwaka 2017/18 imekamata baiskeli 60 za watuhumiwa wa ujangiri zikiwamo Nyaya zaidi ya 100 ndani ya Pori la Akiba Selous Kanda ya Kaskazini Magharibi- Msolwa.

Mkuu wa Kanda hiyo, Augustine Ngimilanga alisema pamoja na kukamata nyenzo hizo askari wa doria pia walikamata watuhumiwa wa ujangiri waliofunguliwa kesi 92 zinazoendelea Mahakama ya wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro.

“Watuhumiwa 18 wameshasomewa kesi zao na kuhukumiwa baadhi wamefungwa miaka mitatu na wengine miaka tisa jela,” alisema Ngimilanga na kuongeza:

“Tumeweka mkakati wa kuhakikisha maeneo yote yanakuwa na ulinzi wa doria muda wote, hii ni pamoja na kukabiliana nao kabla hawajaingia na kufanya uharibifu,” alisema.


Hivyo makala TAWA yawakamata,pokonya baiskeli 60, Nyaya 100 za majangiri

yaani makala yote TAWA yawakamata,pokonya baiskeli 60, Nyaya 100 za majangiri Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAWA yawakamata,pokonya baiskeli 60, Nyaya 100 za majangiri mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/tawa-yawakamatapokonya-baiskeli-60.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAWA yawakamata,pokonya baiskeli 60, Nyaya 100 za majangiri"

Post a Comment

Loading...