Loading...
title : PROMOSHENI YA SHINDA ZAIDI NA SPORTSPESA YAZINDULIWA
link : PROMOSHENI YA SHINDA ZAIDI NA SPORTSPESA YAZINDULIWA
PROMOSHENI YA SHINDA ZAIDI NA SPORTSPESA YAZINDULIWA
Na Khadija Seif, Globu ya Jamii
KAMPUNI ya kubashiri michezo nchini ya Sportspesa imezindua rasmi promosheni ya kuinua watu maisha yao hasa kiuchumi inayokwenda kwa jina la Shinda zaidi na Sportspesa.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti wa Sportpesa, Tarimba Abbas amesema kampuni hiyo inaendesha shindano hilo kwa wateja wake ikiwa ni mara ya pili.
Ambapo kwa mwaka jana ilitoa takribani bajaj 100 kwa washindi kutoka mikoa mbalimbali nchini waliobuka washindi.
Pia Tarimba amesema lengo la shindano hilo limejikita zaidi kwenye kubadilisha maisha ya Watanzania kwani washindi wamekua wakishinda zawadi mbalimbali ambazo kwa namna moja au nyingne zinawasaidia kujiongea kipato.
Ametoa rai kwa wateja kutumia fursa hiyo kubadilisha maisha yao kwani promosheni hiyo kila mmoja anayo nafasi ya kuwa mshindi na kufafanua shindano hilo linaambatana sana na wapenzi wa mpira wa miguu.
Kwa upande wa Submean Auto Limited Venkatesh Bussiness ambao ni wasambazaji wa Bajaji RE nchini wametoa waranti kwa miezi 12 bajaj za watakaoshinda ili kuonesha imani kwa bidhaa hizo.
Pia wamewaomba watanzania kubashiri kupitia Sportpesa ili waweze kushinda hasa kwa kuzingatia kampuni hiyo inaongoza kwa Afrika Mashariki.
Wakati huohuo Meneja Uhusiano wa Sportspesa Sabrina Msuya amefafanua jinsi ya kushiriki Kwenye promosheni ya Sindano hilo.
Msuya amesema kwa promosheni iliyopita ilifika mikoa 23 ya Tanzania na kwa kila aliyewekea ubashiri wake alipata nafasi ya kujishindia pesa taslimu,jezi na safari ya kwenda Uingereza ,Bajaji ni fursa peke kwa sasa kubashiri.

Meneja uhusiano wa shindano la shinda zaidi na Sportpesa, Sabrina Msuya (wa pili kulia) akizungumza na vyombo vya habarini kushoto ni Mkurugenzi wa utawala na udhibiti Abass Tarimba pamoja na wawakilishi kutoka klabu za mpira wa miguu nchini
Hivyo makala PROMOSHENI YA SHINDA ZAIDI NA SPORTSPESA YAZINDULIWA
yaani makala yote PROMOSHENI YA SHINDA ZAIDI NA SPORTSPESA YAZINDULIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PROMOSHENI YA SHINDA ZAIDI NA SPORTSPESA YAZINDULIWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/promosheni-ya-shinda-zaidi-na.html
0 Response to "PROMOSHENI YA SHINDA ZAIDI NA SPORTSPESA YAZINDULIWA"
Post a Comment