Loading...

RAIA WA MALAWI AFIKISHWA MAHAKAMANI YA KISUTU KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI

Loading...
RAIA WA MALAWI AFIKISHWA MAHAKAMANI YA KISUTU KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIA WA MALAWI AFIKISHWA MAHAKAMANI YA KISUTU KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIA WA MALAWI AFIKISHWA MAHAKAMANI YA KISUTU KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI
link : RAIA WA MALAWI AFIKISHWA MAHAKAMANI YA KISUTU KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI

soma pia


RAIA WA MALAWI AFIKISHWA MAHAKAMANI YA KISUTU KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI

Na Karama Kenyunko, blogu ya Jamii.
RAIA wa Malawi, Edward Banda (38), amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la uhujumu uchumi kuwepo nchini bila kibali,kutoa taarifa za uongo kwa maofisa wa serikali na kujipatia kitambulisho cha mpiga kura kwa njia ya udanganyifu.

Akisoma hati ya mashtaka leo Septemba 22, wakili wa serikali Mwandamizi, Veronika Matikila, mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi,, Wanjah Hamza amedai Septemba 18, mwaka huu katika kituo cha Daladala eneo la Kawe Wilaya ya Kinondoni mshtakiwa  alikutwa akiwa hana nyaraka za kumuwezesha kuwepo nchini.

Pia imedaiwa, kati ya Januari na Oktoba 2015 katika shule ya msingi Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, mshtakiwa alitoa taarifa za uongo kwa maofisa wa serikali kuwa yeye ni mtanzania ili aweze apate kitambulisho cha mpiga kura.

Imeendelea kudaiwa, mshtakiwa katika kipindi h cha kati ya Januari na Oktoba 2015, huko katika eneo la shule ya Msingi ya Mbezi Beach kwa udanganyifu aliwadanganya maofisa wa Tume ya Uchaguzi (NEC) waweze kumuamini na kumpatia kadi ya mpiga kura namba 1-1001-8940-587-6.

Hata hivyo, mshtakiwa baada ya kusomewa mashtaka yake hayo, hakuruhusiwa kujibu kitu chochote kwa sababu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu haina mamlaka ya kuisikiliza kesi hiyo hadi Mahakama Kuu.

Hata hivyo wakili huyo aliwasilisha hati kutoka kwa  (DPP) mahakamani hapo kwa Kuzuia dhamana ya mshtakiwa huyo.


Kwa mujibu wa upande wa mashtaka upelelezi katika kesi hiyo bado haujakamilika na imeahirishwa hadi Oktoba 4, mwaka huu kwa ajili ya kutajwa.


Hivyo makala RAIA WA MALAWI AFIKISHWA MAHAKAMANI YA KISUTU KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI

yaani makala yote RAIA WA MALAWI AFIKISHWA MAHAKAMANI YA KISUTU KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIA WA MALAWI AFIKISHWA MAHAKAMANI YA KISUTU KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/raia-wa-malawi-afikishwa-mahakamani-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIA WA MALAWI AFIKISHWA MAHAKAMANI YA KISUTU KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI"

Post a Comment

Loading...