RAIS DKT. SHEIN AZINDUA VITUO VYA MFUMO WA KIELEKTRONI WA KUSAJILI WAKAAZI WA ZANZIBAR (E-ID CARD) - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. SHEIN AZINDUA VITUO VYA MFUMO WA KIELEKTRONI WA KUSAJILI WAKAAZI WA ZANZIBAR (E-ID CARD), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
RAIS DKT. SHEIN AZINDUA VITUO VYA MFUMO WA KIELEKTRONI WA KUSAJILI WAKAAZI WA ZANZIBAR (E-ID CARD)link :
RAIS DKT. SHEIN AZINDUA VITUO VYA MFUMO WA KIELEKTRONI WA KUSAJILI WAKAAZI WA ZANZIBAR (E-ID CARD)
RAIS DKT. SHEIN AZINDUA VITUO VYA MFUMO WA KIELEKTRONI WA KUSAJILI WAKAAZI WA ZANZIBAR (E-ID CARD)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuzindua jengo la Ofisi mpya za Wilaya -Dunga pamoja na uzinduzi wa Uimarishaji wa mfumo wa matukio ya kijamii uliofanyika katika Wilaya kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo ya kifundi kutoka kwa Mkurugenzi wa Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Dkt. Hussein Khamis Shaaban mara baada ya uzinduzi wa Uimarishaji wa mfumo wa matukio ya kijamii na Jengo la Ofisi mpya ya Wilaya Dunga uliofanyika leo katika Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja, (kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia hafla ya Uzinduzi wa Mfumo wa Usajili wa Kieletroniki na Ofisi za Usajili wa Vitambulisho Wilaya ya Dunga wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein, akihutubia hafla hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa SMZ na Wafanyakazi wa Wakala wa Usajili, baada ya hafla ya uzinduzi huo, uliofanyika Dunga Wilaya ya Kati Unguja.
Hivyo makala RAIS DKT. SHEIN AZINDUA VITUO VYA MFUMO WA KIELEKTRONI WA KUSAJILI WAKAAZI WA ZANZIBAR (E-ID CARD)
yaani makala yote RAIS DKT. SHEIN AZINDUA VITUO VYA MFUMO WA KIELEKTRONI WA KUSAJILI WAKAAZI WA ZANZIBAR (E-ID CARD) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. SHEIN AZINDUA VITUO VYA MFUMO WA KIELEKTRONI WA KUSAJILI WAKAAZI WA ZANZIBAR (E-ID CARD) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/rais-dkt-shein-azindua-vituo-vya-mfumo.html
0 Response to "RAIS DKT. SHEIN AZINDUA VITUO VYA MFUMO WA KIELEKTRONI WA KUSAJILI WAKAAZI WA ZANZIBAR (E-ID CARD)"
Post a Comment