Loading...

RC ALLY HAPI:MAJENGO YA UWANJA WA NDEGE WA NDULI YANAHARIBU TASWIRA YA KUIJENGA IRINGA MPYA

Loading...
RC ALLY HAPI:MAJENGO YA UWANJA WA NDEGE WA NDULI YANAHARIBU TASWIRA YA KUIJENGA IRINGA MPYA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC ALLY HAPI:MAJENGO YA UWANJA WA NDEGE WA NDULI YANAHARIBU TASWIRA YA KUIJENGA IRINGA MPYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC ALLY HAPI:MAJENGO YA UWANJA WA NDEGE WA NDULI YANAHARIBU TASWIRA YA KUIJENGA IRINGA MPYA
link : RC ALLY HAPI:MAJENGO YA UWANJA WA NDEGE WA NDULI YANAHARIBU TASWIRA YA KUIJENGA IRINGA MPYA

soma pia


RC ALLY HAPI:MAJENGO YA UWANJA WA NDEGE WA NDULI YANAHARIBU TASWIRA YA KUIJENGA IRINGA MPYA

Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi akiwa ameongozana na mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela pamoja na meneja wa uwanja wa nduli Anna Kibopile alipofanya ziara katika uwanja wa ndege wa Nduli kwa kufahamu maendeleo ya ukarabati mdogo wa uwanja huo na kubaini baadahi ya changamoto zinaukabili uwanja huo hasa katika swala la majengo kuto kidhi mahitaji ya wasafiri 
Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi akiwa ameongozana na mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela pamoja na meneja wa uwanja wa nduli Anna Kibopile wakiwa kwenye eneo ambalo linafanyiwa ukarabati mdogo.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi akiwa ameongozana na mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela pamoja na meneja wa uwanja wa nduli Anna Kibopile wakiwa ndani katika sehemu ya abiri ambao wanasubiri kusafiri. 

NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
MKUU wa mkoa wa Iringa Ally Hapi hajaridhishwa na hali halisi ya uwanja wa ndege wa nduli uliopo kata ya nduli kuelekea kuijenga Iringa mpya kwa maendeleo ya wanairinga.

Akizungumza wakati wa ziara ya kukagua ukarabati mdogo unaoendelea katika uwanja huo,hapi alisema kuwa uwanja huo wa ndege unahitaji ukarabati wa maana ili kukidhi mahitaji ya watumiaji na kukuza maendeleo ya wananchi wa mkoa wa Iringa.

“Nimetembea kwenye maeneo mengi ya uwanja huu hayaridhi wala hayavutii kwa wawekezaji kuja mkoani hapa kwa kuwa saizi wawekezaji wengi wanapenda kutumia usafiri wa anga hivyo ni lazima kuwa na kiwanja cha ndege ambacho kitakidhi na kuvutia watalii na wawekezaji wanapokuja mkoani hapa” alisema Hapi

Hapi alisema kuwa jengo la wageni la uwanja huo ni dogo,halina ubora unaotakiwa na halikidhi kuwa katika uwanja huo ambao hivi karibuni utaanza kupokea wageni wengi kutoka maeneo mbalimbali ya ndani ya nje ya nchi.


Hivyo makala RC ALLY HAPI:MAJENGO YA UWANJA WA NDEGE WA NDULI YANAHARIBU TASWIRA YA KUIJENGA IRINGA MPYA

yaani makala yote RC ALLY HAPI:MAJENGO YA UWANJA WA NDEGE WA NDULI YANAHARIBU TASWIRA YA KUIJENGA IRINGA MPYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC ALLY HAPI:MAJENGO YA UWANJA WA NDEGE WA NDULI YANAHARIBU TASWIRA YA KUIJENGA IRINGA MPYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/rc-ally-hapimajengo-ya-uwanja-wa-ndege.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC ALLY HAPI:MAJENGO YA UWANJA WA NDEGE WA NDULI YANAHARIBU TASWIRA YA KUIJENGA IRINGA MPYA"

Post a Comment

Loading...