Loading...
title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Msajili wa Vyama Vya Siasa Tanzania Ikulu Zanzibar.
link : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Msajili wa Vyama Vya Siasa Tanzania Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Msajili wa Vyama Vya Siasa Tanzania Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Mhe.Jaji Frances Mutungi (katikati) alipofika kujitambulisha katikahafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa ikulu mjini Zanzibar,akifuatana na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania Bw.Mohammed Ali Ahmed
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Mhe.Jaji Frances Mutungi (katikati) alipofika kujitambulisha katika hafla iliyofanyika leo ukumbiwa Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Naibu Msajiliwa Vyama vya Siasa Tanzania Bw.Mohammed Ali Ahmed
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)akifuatana na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Mhe.Jaji Frances Mutungi (kulia)baada ya mazungumzo alipofika kujitambulisha leo hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar(kushoto) Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania Bw.Mohammed Ali Ahmed [Picha na Ikulu.]25/09/2018
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Msajili wa Vyama Vya Siasa Tanzania Ikulu Zanzibar.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Msajili wa Vyama Vya Siasa Tanzania Ikulu Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Msajili wa Vyama Vya Siasa Tanzania Ikulu Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_26.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Msajili wa Vyama Vya Siasa Tanzania Ikulu Zanzibar."
Post a Comment