Loading...

Video - Waziri wa Mambo ya Ndani Awataka Jeshi la Polisi Kuvitumia Vizuri Vya Barabarani.

Loading...
Video - Waziri wa Mambo ya Ndani Awataka Jeshi la Polisi Kuvitumia Vizuri Vya Barabarani. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Video - Waziri wa Mambo ya Ndani Awataka Jeshi la Polisi Kuvitumia Vizuri Vya Barabarani., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Video - Waziri wa Mambo ya Ndani Awataka Jeshi la Polisi Kuvitumia Vizuri Vya Barabarani.
link : Video - Waziri wa Mambo ya Ndani Awataka Jeshi la Polisi Kuvitumia Vizuri Vya Barabarani.

soma pia


Video - Waziri wa Mambo ya Ndani Awataka Jeshi la Polisi Kuvitumia Vizuri Vya Barabarani.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, KANGI LUGOLA ameliagiza Jeshi la Polisi kuvitumia vizuizi vya barabarani katika kuimarisha Ulinzi na kuzuia uhalifu badala ya kuwa chanzo cha rushwa na kero kwa wananchi.
Waziri LUGOLA ametoa agizo hilo wilayani KAKONKO leo wakati akizungumza na Kamati ya Ulinzi na Uslama ya Mkoa wa KIGOMA mara baada ya kuwasili mkoani humo na kusema pamoja na lengo zuri la vizuizi vya barabarani lakini wawe makini katika utekelezaji wa kazi zao ili wasikinzane na ilani ya CCM inayoelekeza kuwapunguzia kero wananchi na kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya Serikali



Hivyo makala Video - Waziri wa Mambo ya Ndani Awataka Jeshi la Polisi Kuvitumia Vizuri Vya Barabarani.

yaani makala yote Video - Waziri wa Mambo ya Ndani Awataka Jeshi la Polisi Kuvitumia Vizuri Vya Barabarani. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Video - Waziri wa Mambo ya Ndani Awataka Jeshi la Polisi Kuvitumia Vizuri Vya Barabarani. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/video-waziri-wa-mambo-ya-ndani-awataka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Video - Waziri wa Mambo ya Ndani Awataka Jeshi la Polisi Kuvitumia Vizuri Vya Barabarani."

Post a Comment

Loading...