Loading...
title : RC MAKONDA APONGEZA JESHI LA POLISI KWA KUSIMAMIA AMANI NA UTULIVU UCHAGUZI JIMBO LA UKONGA.
link : RC MAKONDA APONGEZA JESHI LA POLISI KWA KUSIMAMIA AMANI NA UTULIVU UCHAGUZI JIMBO LA UKONGA.
RC MAKONDA APONGEZA JESHI LA POLISI KWA KUSIMAMIA AMANI NA UTULIVU UCHAGUZI JIMBO LA UKONGA.
Mwamba wa habariMkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amelipongeza Jeshi la Polis kwa kazi kubwa ya kuimarisha hali ya ulinzi na usalama kipindi chote cha kampeni za uchaguzi Jimbo la Ukonga hadi uchaguzi uliofanyika siku ya Jana na kumalizika salama pasipo uvunjifu wa amani.
RC Makonda ametoa pongezi hizo leo alipokutana na Makamanda na maafisa wa polisi ambapo amesema anajivunia kuona uchaguzi wa Ukonga umemalizika salama bila fujo wala uvunjifu wa amani.
Aidha RC Makonda amewapongeza wananchi kwa kulinda aman na kulifanya jiji la Dar es salaam kuzidi kuwa na amani masaa 24.
Pamoja na hayo RC Makonda amempongeza Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro na Kamanda wa Polis Kanda maalumu ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa kwa kuwa na vijana shupavu, wakakamavu na wenye morali ya kuwatumikia wananchi.
Hivyo makala RC MAKONDA APONGEZA JESHI LA POLISI KWA KUSIMAMIA AMANI NA UTULIVU UCHAGUZI JIMBO LA UKONGA.
yaani makala yote RC MAKONDA APONGEZA JESHI LA POLISI KWA KUSIMAMIA AMANI NA UTULIVU UCHAGUZI JIMBO LA UKONGA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA APONGEZA JESHI LA POLISI KWA KUSIMAMIA AMANI NA UTULIVU UCHAGUZI JIMBO LA UKONGA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/rc-makonda-apongeza-jeshi-la-polisi-kwa.html
0 Response to "RC MAKONDA APONGEZA JESHI LA POLISI KWA KUSIMAMIA AMANI NA UTULIVU UCHAGUZI JIMBO LA UKONGA."
Post a Comment