Loading...

SERIKALI YAASWA KUTOA ELIMU YA UOKOAJI KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA MAJINI

Loading...
SERIKALI YAASWA KUTOA ELIMU YA UOKOAJI KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA MAJINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YAASWA KUTOA ELIMU YA UOKOAJI KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA MAJINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YAASWA KUTOA ELIMU YA UOKOAJI KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA MAJINI
link : SERIKALI YAASWA KUTOA ELIMU YA UOKOAJI KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA MAJINI

soma pia


SERIKALI YAASWA KUTOA ELIMU YA UOKOAJI KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA MAJINI

SERIKALI yaaswa kutoa elimu ya uokoaji kwa wananchi wanaotumia usafiri wa majini pamoja na matangazo kama ilivyo kwenye vyombo vya usafiri wa anga.

Hayo yamesemwa na mwanaharakati,Laulence Mabawa wakati akizungumza  na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo. Amesema “Serikali itoe agizo la tangazo kwa wananchi wanaotumia usafiri wa majini ili waweze kujiokoa pale itokeapo dharura”

Amesema kuwa wakitoa matangazo yatakayo saidia watumiaji wa vyombo vya maji jinsi wanavyoweza kujioko ili kupunguza majeruhi pamoja na watu wanaofariki katika ajali zinazotokea kwenye bahari, ziwa na mito ambayo inatumia vyombo vya majini.

Mabawa amewaasa wananchi maneno ya upotoshaji kuhusu tukio la ajali ya MV Nyerere pamoja na wanaobeza  majeneza yaliyotumika katika mazishi ya waliofariki katika ajali ya kuzama kwa MV. Nyerere.

Pia Mabawa ameiomba serikali kuwaandalia vyeti vya heshima wananchi wote waliosaidia uokoaji na uopoaji wa wahanga wa MV.Nyerere na vyeti hivyo ameomba Rais ndio akabidhi wananchi hao waliojitole.

Pia amewaasa wananchi na wanasiasa kuacha kukosoa juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na kukosoa watendaji wake kutokana na historia za maisha yao ya awali.

Pia amewaasa wateuliwa wa Rais wafanye kazi kwa maarifa, busana na hekima.


Hivyo makala SERIKALI YAASWA KUTOA ELIMU YA UOKOAJI KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA MAJINI

yaani makala yote SERIKALI YAASWA KUTOA ELIMU YA UOKOAJI KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA MAJINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAASWA KUTOA ELIMU YA UOKOAJI KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA MAJINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/serikali-yaaswa-kutoa-elimu-ya-uokoaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI YAASWA KUTOA ELIMU YA UOKOAJI KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA MAJINI"

Post a Comment

Loading...