Loading...

UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO NA UTOAJI WA ELIMU YA AFYA YA MOYO KWA WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI

Loading...
UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO NA UTOAJI WA ELIMU YA AFYA YA MOYO KWA WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO NA UTOAJI WA ELIMU YA AFYA YA MOYO KWA WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO NA UTOAJI WA ELIMU YA AFYA YA MOYO KWA WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI
link : UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO NA UTOAJI WA ELIMU YA AFYA YA MOYO KWA WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI

soma pia


UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO NA UTOAJI WA ELIMU YA AFYA YA MOYO KWA WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kuwajulisha Wahariri na Waandishi wa Habari kwamba katika kuadhimisha siku ya moyo Duniani itafanya uzinduzi wa upimaji wa afya ambao utaenda sambamba na upimaji na utoaji wa elimu ya afya ya moyo bila malipo kwa Wahariri na Waandishi wa Habari wote pamoja na watoto wao. 

Upimaji huo utafanyika tarehe 28/09/2018 kuanzia saa nne (4) asubuhi katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete. Usikose kuhudhuria nafasi hii muhimu ya upimaji wa afya.

Kauli mbiu ya maadhimisho ya siku ya moyo Duniani inasema: “Kwa moyo wangu, kwa moyo wako, sote pamoja kwa mioyo yetu , tunatimiza ahadi”.

Imetolewa na:
Kitengo cha Uhusiano
Taasisi ya  Moyo Jakaya Kikwete
27/09/2018


Hivyo makala UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO NA UTOAJI WA ELIMU YA AFYA YA MOYO KWA WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI

yaani makala yote UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO NA UTOAJI WA ELIMU YA AFYA YA MOYO KWA WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO NA UTOAJI WA ELIMU YA AFYA YA MOYO KWA WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/upimaji-wa-magonjwa-ya-moyo-na-utoaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO NA UTOAJI WA ELIMU YA AFYA YA MOYO KWA WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI"

Post a Comment

Loading...