Loading...

SONGAS yatoa rambirambi ya milioni 50 kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere

Loading...
SONGAS yatoa rambirambi ya milioni 50 kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SONGAS yatoa rambirambi ya milioni 50 kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SONGAS yatoa rambirambi ya milioni 50 kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere
link : SONGAS yatoa rambirambi ya milioni 50 kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere

soma pia


SONGAS yatoa rambirambi ya milioni 50 kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere

Mwenyekiti wa Kamati ya Maafa ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mh. Issack Kamwelwe (wa pili kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi za kitanzania milioni 50 kutoka kwa Meneja wa Rasilimali Watu wa Kampuni ya Uzalishaji Umeme nchini Songas Limited, Bi. Agatha Keenja (wa pili kulia) ikiwa ni kama rambirambi kwa ajili ya kusaidia shughuli za kuhudumia wahanga wa ajali pamoja na mkono wa pole kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere. Hafla hiyo imefanyika  mwishoni mwa juma visiwani Ukerewe jijini Mwanza. Wengine katika picha kulia ni Meneja Miundombinu wa kampuni ya Uzalishaji Umeme ya Songas Limited, Bw. Goronga Kasaka.
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella (katikati) na wadau wa SONGAS mara baada ya makabidhiano hayo yaliyofanyika mwishoni mwa juma visiwani Ukerewe jijini Mwanza.


Hivyo makala SONGAS yatoa rambirambi ya milioni 50 kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere

yaani makala yote SONGAS yatoa rambirambi ya milioni 50 kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SONGAS yatoa rambirambi ya milioni 50 kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/songas-yatoa-rambirambi-ya-milioni-50.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SONGAS yatoa rambirambi ya milioni 50 kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere"

Post a Comment

Loading...