Loading...

ACACIA yatoa rambirambi ya shilingi milioni 80 kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere

Loading...
ACACIA yatoa rambirambi ya shilingi milioni 80 kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ACACIA yatoa rambirambi ya shilingi milioni 80 kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ACACIA yatoa rambirambi ya shilingi milioni 80 kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere
link : ACACIA yatoa rambirambi ya shilingi milioni 80 kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere

soma pia


ACACIA yatoa rambirambi ya shilingi milioni 80 kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere

Mwenyekiti wa Kamati ya Maafa ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mh. Issack Kamwelwe (wa pili kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi za kitanzania milioni 80 kutoka kwa Meneja jamii endelevu wa Kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia, Bw. Richard Ojendo ikiwa ni kama rambirambi kwa ajili ya kusaidia shughuli za kuhudumia wahanga wa ajali pamoja na mkono wa pole kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere. Hafla hiyo imefanyika mwishoni mwa juma visiwani Ukerewe jijini Mwanza.
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella (wa pili kulia) na wadau wa ACACIA mara baada ya makabidhiano hayo yaliyofanyika mwishoni mwa juma visiwani Ukerewe jijini Mwanza.


Hivyo makala ACACIA yatoa rambirambi ya shilingi milioni 80 kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere

yaani makala yote ACACIA yatoa rambirambi ya shilingi milioni 80 kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ACACIA yatoa rambirambi ya shilingi milioni 80 kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/acacia-yatoa-rambirambi-ya-shilingi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ACACIA yatoa rambirambi ya shilingi milioni 80 kwa wafiwa kufuatia tukio la ajali la MV Nyerere"

Post a Comment

Loading...