Loading...

SPIKA NDUGAI AFUNGA RASMI MKUTANO MKUU WA ALAT JIJINI DODOMA

Loading...
SPIKA NDUGAI AFUNGA RASMI MKUTANO MKUU WA ALAT JIJINI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA NDUGAI AFUNGA RASMI MKUTANO MKUU WA ALAT JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA NDUGAI AFUNGA RASMI MKUTANO MKUU WA ALAT JIJINI DODOMA
link : SPIKA NDUGAI AFUNGA RASMI MKUTANO MKUU WA ALAT JIJINI DODOMA

soma pia


SPIKA NDUGAI AFUNGA RASMI MKUTANO MKUU WA ALAT JIJINI DODOMA



V25A8972
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) pamoja na wadhamini wa Mkutano huo, wakati wa kufunga Mkutano Mkuu wa 34 wenye kauli mbiu “Umuhimu na Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kutoa ushiriki wa wananchi kupitia fursa na vikwazo kuelekea uchumi wa Viwanda” Kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Jakaya Mrisho Kikwete Jijini Dodoma.
V25A8949
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo akizungumza na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Tawala za Mitaa Tanzania pamoja na wadhamini wa Mkutano huo (hawapo kwenye picha) wakati wa kufunga Mkutano Mkuu wa 34 wenye kauli mbiu “Umuhimu na Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kutoa ushiriki wa wananchi kupitia fursa na vikwazo kuelekea uchumi wa Viwanda” Kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Jakaya Mrisho Kikwete Jijini Dodoma.
7. TFDA
Mwakilishi wa TFDA, akipokea cheti kutoka kwa Mgeni Rasmi Job Ndugai kufuatia ushiriki wa mamlaka hiyo kuwezesha kutano wa 34 ALAT jijini Dodoma.
V25A9048
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimpatia cheti mwakilishi kutoka Shirika la Nyumba la Taifa, Ndg. Tuntufye Mwambusi  mmoja wa wadhamani waliofanikisha Mkutano Mkuu wa 34 wa Tawala za Mitaa Tanzania, wenye kauli mbiu “Umuhimu na Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kutoa ushiriki wa wananchi kupitia fursa na vikwazo kuelekea uchumi wa Viwanda” kabla ya kufunga Mkutano huo katika ukumbi wa Jakaya Mrisho Kikwete Jijini Dodoma.
V25A8925
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 34 wa Tawala za Mitaa Tanzania, wadhamini wakiwa kwenye Mkutano wenye kauli mbiu “Umuhimu na Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kutoa ushiriki wa wananchi kupitia fursa na vikwazo kuelekea uchumi wa Viwanda” Kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Jakaya Mrisho Kikwete Jijini Dodoma. 
V25A8964
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 34 wa Tawala za Mitaa Tanzania, wadhamini wakiwa kwenye Mkutano wenye kauli mbiu “Umuhimu na Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kutoa ushiriki wa wananchi kupitia fursa na vikwazo kuelekea uchumi wa Viwanda” Kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Jakaya Mrisho Kikwete Jijini Dodoma.


Hivyo makala SPIKA NDUGAI AFUNGA RASMI MKUTANO MKUU WA ALAT JIJINI DODOMA

yaani makala yote SPIKA NDUGAI AFUNGA RASMI MKUTANO MKUU WA ALAT JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AFUNGA RASMI MKUTANO MKUU WA ALAT JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/spika-ndugai-afunga-rasmi-mkutano-mkuu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPIKA NDUGAI AFUNGA RASMI MKUTANO MKUU WA ALAT JIJINI DODOMA"

Post a Comment

Loading...