Loading...
title : Tanzania Remix kuchukuriwa hatua za kisheria
link : Tanzania Remix kuchukuriwa hatua za kisheria
Tanzania Remix kuchukuriwa hatua za kisheria
Naibu waziri wa Wizara ya UchukuziMhandisi Atashasta Nditiye akizungumza na waandishi wa haabri jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kutembelea eneo la viwanja vilivyonunuliwa na serikali kwaajili ya wananchi waliopisha upanuzi wa uwanja wa ndege jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Viwanja vya Ndege, Richard Mayongela akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani mara baada ya kutembelea Viwanja vilivyopo Luhanga Kata ya Msongola Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam na kukubali bila kinyongo kutekeleza agizo la Naibu waziri wa Wizara ya UchukuziMhandisi Atashasta mara baada ya kutoa agizo hilo.
Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii
TANZANIA Remix kuchukuliwa hatua za kisheria kulingana na mkataba unavyosema.
Hayo yamesemwa na Naibu waziri wa Uchukuzi Mhandisi Atashasta Nditiye wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kutembelea viwanja vya fidia vya wananchi Waliopisha upanuzi wa Uwanja wa ndege jijini Dar es Salaam.
Nae Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege (TAA) Richard Mayongela amesema kuwa hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya Tanzania Remix na zitatekelezwa bila kuogopa.
Pia amesema kuwa "Tanzania Remix tumieni wiki hii moja mliyopewa kwaaajili ya kutekeleza agizo hilo la sivyo mtachukuliwa hatua za kisheria bila kuogopwa"
Pia amewaomba wananchi wawe wavumilivu kwani haki ya Mtu haiwezi kupotea bure ili wananchi waweze kufurahia matunda yao.
Kiwango cha uvumilivu kwa mamlaka ya Viwanja vya ndege (TAA) umefikia mwisho na sheria zitachukuliwa.
Hivyo makala Tanzania Remix kuchukuriwa hatua za kisheria
yaani makala yote Tanzania Remix kuchukuriwa hatua za kisheria Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tanzania Remix kuchukuriwa hatua za kisheria mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/tanzania-remix-kuchukuriwa-hatua-za.html
0 Response to "Tanzania Remix kuchukuriwa hatua za kisheria"
Post a Comment