Loading...
title : Taswira ya Barabara ya Flyover ya Tazara Jijini Dar es Salaam
link : Taswira ya Barabara ya Flyover ya Tazara Jijini Dar es Salaam
Taswira ya Barabara ya Flyover ya Tazara Jijini Dar es Salaam
Muonekano wa njia ya juu (flyover) katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela eneo la TAZARA jijini Dar es salaam baada ya magari kuruhusiwa kupita juu yake.
Kufunguliwa kwa flyover hio kumepunguza adha ya foleni kwa kiwango kikubwa kiasi ya kwamba safari kutoka katikati ya jiji hadi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere hivi sasa huchukua si zaidi ya nusu saa badala ya masaa mawili au matatu ya awali. Picha na Muhidin Issa Michuzi
Hivyo makala Taswira ya Barabara ya Flyover ya Tazara Jijini Dar es Salaam
yaani makala yote Taswira ya Barabara ya Flyover ya Tazara Jijini Dar es Salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Taswira ya Barabara ya Flyover ya Tazara Jijini Dar es Salaam mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/taswira-ya-barabara-ya-flyover-ya.html
0 Response to "Taswira ya Barabara ya Flyover ya Tazara Jijini Dar es Salaam"
Post a Comment