Loading...

Wakili wa Chadema ajiondoa ghafla

Loading...
Wakili wa Chadema ajiondoa ghafla - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wakili wa Chadema ajiondoa ghafla, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wakili wa Chadema ajiondoa ghafla
link : Wakili wa Chadema ajiondoa ghafla

soma pia


Wakili wa Chadema ajiondoa ghafla

Wakili wa utetezi Jeremiah Mtobesya katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi Tisa wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe amejitoa leo Agosti 23.2018 baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuamuru washtakiwa wasomewe Maelezo ya awali, (PH).

Mtobesya amejitoa leo mahakamani  hapo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Willbard Mashauri baada ya kuamuru PH dhidi ya washtakiwa isomwe kufuatia maamuzi aliyotoa mapema leo dhidi ya maombi ya utetezi ya kutaka kesi hiyo Namba 112/2018  iahirishwe kusubiri uamuzi wa Mahakama ya Rufani kuhusu kusimamishwa kwa kesi hiyo.

Hata  hivyo Hakimu Mashauri ameyatupilia mbali maombi hayo kwa sababu kifungu Namba 225 (1)(2) hakiipi mamlaka mahakama ya Kisutu kuahirisha kesi hiyo.

" Mheshimiwa Hakimu Mimi najitoa katika kesi hii kwani nahisi haki haitatendeka". Amesema Mtobesya na kusimama na kutoka nje.

Hii takribani mara ya tatu kwa maombi ya Chadema kutupiliwa mbali.


Hivyo makala Wakili wa Chadema ajiondoa ghafla

yaani makala yote Wakili wa Chadema ajiondoa ghafla Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wakili wa Chadema ajiondoa ghafla mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/wakili-wa-chadema-ajiondoa-ghafla.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wakili wa Chadema ajiondoa ghafla"

Post a Comment

Loading...