Loading...

WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZIAGIZA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI ZINAPOSAIDIA JAMII ZIKUMBUKE MAHITAJI YA MAKUNDI MAALUM

Loading...
WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZIAGIZA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI ZINAPOSAIDIA JAMII ZIKUMBUKE MAHITAJI YA MAKUNDI MAALUM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZIAGIZA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI ZINAPOSAIDIA JAMII ZIKUMBUKE MAHITAJI YA MAKUNDI MAALUM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZIAGIZA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI ZINAPOSAIDIA JAMII ZIKUMBUKE MAHITAJI YA MAKUNDI MAALUM
link : WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZIAGIZA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI ZINAPOSAIDIA JAMII ZIKUMBUKE MAHITAJI YA MAKUNDI MAALUM

soma pia


WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZIAGIZA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI ZINAPOSAIDIA JAMII ZIKUMBUKE MAHITAJI YA MAKUNDI MAALUM

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama, (wapili kulia), Naibu Wake, Mhe. Stella Ikupa (wakwanza kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Bw. Masha Mshomba (mwenye miwani), wakiangalia jinsi wanafunzi wasioona wanavyotumia mashine maalum za kuandika nukta nundu, kwenye chou cha walemavu Yombo jijini Dar es Salaam Septemba 17, 2018. Waziri Jenista amepokea mashine hizo maalum Braille Machines, 11 zilizotolewa na WCF ikiwa ni utekelezaji wa sera ya kusaidia jamii (CSR) ili zitumike kwanye taasisi za wanafunzi wasioona.
NA K-VIS BLOG/Khalfan Said

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Sera, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama, (pichani), ameziagiza taasisi za umma na binafsi nchini zinapotoa fedha za kusaidia jamii (CSR), zikumbuke kuna kundi maalum la walemavu nchini ambao nao wanahitaji huduma maalum kama wanavyohitaji wengine.

Mheshimiwa Waziri aliyasema hayo jioni ya Septemba 17, 2018 wakati akipokea mashine maalum za kuandika kwa wanafunzi wasioona (Braille Machines) kutoka Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwenye chuo cha walemavu Yombo jijini Dar es Salaam.


“Tunapoona kwenye shule za msingi wanahitaji madawati, tukumbuke kwamba, wapo wanafunzi kwenye vyuo, wapo wanafunzi kwenye shule za msingi, ambao ni wenye ulemavu ambao pengine badala ya madawati, wao wanahitaji viti vya kuwaongezea mwendo, au kama tunatoa computer mpakato, tukumbuke kwamba tunazo shule na vyuo watoto wetu, vijana wetu wanasoma wenye ulemavu wangehitaji mashine hizi zenye kuandika nukta nundu ili kuwasaidia wenye ulemavu ili na wao wafaidike na elimu katika nchi yetu ya Tanzania.” Alisema Mheshimiwa Waziri Jenista Mhagama wakati akihutyubia kwenye hafla ya kukabidhi mashine hizo.
Mhe. Waziri Jenista Mhagama (kushoto), akiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Anayeshughulikia masuala ya wenye ulemavu), Mhe. Stella Ikupa, wakati akizungumza kwenye hafla hiyo.
Mhe. Stella Ikupa, (Kulia), akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mkuu wa WCF, Bw. Masha Mshomba.



Hivyo makala WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZIAGIZA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI ZINAPOSAIDIA JAMII ZIKUMBUKE MAHITAJI YA MAKUNDI MAALUM

yaani makala yote WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZIAGIZA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI ZINAPOSAIDIA JAMII ZIKUMBUKE MAHITAJI YA MAKUNDI MAALUM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZIAGIZA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI ZINAPOSAIDIA JAMII ZIKUMBUKE MAHITAJI YA MAKUNDI MAALUM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/waziri-jenista-mhagama-aziagiza-taasisi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZIAGIZA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI ZINAPOSAIDIA JAMII ZIKUMBUKE MAHITAJI YA MAKUNDI MAALUM"

Post a Comment

Loading...