Loading...

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Ziarani Mkoani Dodoma

Loading...
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Ziarani Mkoani Dodoma - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Ziarani Mkoani Dodoma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Ziarani Mkoani Dodoma
link : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Ziarani Mkoani Dodoma

soma pia


Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Ziarani Mkoani Dodoma

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi wa Kata ya Pahi Wilayani Kondoa,wakati wa ziara yake ya Kikazi katika Mkoa wa Dodoma  akiwa kwenye ziara ya kikazi Mkoani Dodoma, 
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Mji Kondoa, akiwa kwenye ziara ya kikazi Mkoani Dodoma
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, akitembelea ujenzi wa jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Mji Kondoa, kwenye ziara ya kikazi Mkoani Dodoma
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, akitembelea ujenzi wa jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Mji Kondoa, kwenye ziara ya kikazi Mkoani Dodoma
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa, akitembelea moja ya darasa la Shule wa wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo
Waziri Mkuu Kassim Mhe. Majaliwa, akimsikiliza mwanafunzi wa kidato cha sita Veronica Sharma wa Shule wa wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipanda mti kwenye Shule wa wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipanda mti kwenye Shule wa wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mti alioupanda mwaka 2012 kwenye Shule ya wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo Septemba 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Ziarani Mkoani Dodoma

yaani makala yote Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Ziarani Mkoani Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Ziarani Mkoani Dodoma mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/waziri-mkuu-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_21.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Ziarani Mkoani Dodoma"

Post a Comment

Loading...