Loading...

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Afungua Mkutano Mkuu wa 34 wa Alat Jijini Dodoma leo.

Loading...
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Afungua Mkutano Mkuu wa 34 wa Alat Jijini Dodoma leo. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Afungua Mkutano Mkuu wa 34 wa Alat Jijini Dodoma leo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Afungua Mkutano Mkuu wa 34 wa Alat Jijini Dodoma leo.
link : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Afungua Mkutano Mkuu wa 34 wa Alat Jijini Dodoma leo.

soma pia


Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Afungua Mkutano Mkuu wa 34 wa Alat Jijini Dodoma leo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi wa jiji la Dodoma, Godwin Kunambi wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Jakaya Mrisho Kikwete kufungua Mkutano wa 34, wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa, Septemba 27, 2018.  Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo na kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt, Mary Mwanjelwa. Watatu kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Josephat Kandege na watatu kulia ni Meya wa jiji la Dodoma, Profesa Davis Mwamfupe
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu mitambo ya umeme kutoka kwa Kaimu  Mkurugenzi Mtendaji wa Tekinolojia na Masoko wa REA, Elineema Mkumbo (wapili kushoto) wakati alipotembelea banda la maonyesho la REA kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa 34 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Kwenye ukumbi wa Jakaya Mrisho Kikwete jijini Dodoma 
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akifungua Mkutano Mkuu wa 34 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT)  kwenye ukumbi wa Jakaya  Mrisho Kikwete jijini Dodoma 
 Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa 34 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua Mkutano huo kwenye  ukumbi  wa Jakaya Mrisho Kikwete jijini Dodoma, 
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Jumuiya ya Tawala za Mitaa Alat baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Jumuiya hiyo wa 34 uliofanyika Jijini Dodoma katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiagana na baadhi ya viongozi walioshiriki katika Mkutano Mkuu wa 34 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) Kwenye ukumbi wa Jakaya Mrisho Kikwete jijini Dodoma Septemba 27, 2018. Kulia ni Mwenyekiti wa ALAT, Gulaam Hafeez 'Mukadam',   wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge na wanne kulia  ni Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Hivyo makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Afungua Mkutano Mkuu wa 34 wa Alat Jijini Dodoma leo.

yaani makala yote Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Afungua Mkutano Mkuu wa 34 wa Alat Jijini Dodoma leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Afungua Mkutano Mkuu wa 34 wa Alat Jijini Dodoma leo. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/waziri-mkuu-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_27.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Afungua Mkutano Mkuu wa 34 wa Alat Jijini Dodoma leo."

Post a Comment

Loading...