Loading...
title : Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe Balozi Amina Salum Ali Azungumzia Mafanikio ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Inchini Indonesia.
link : Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe Balozi Amina Salum Ali Azungumzia Mafanikio ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Inchini Indonesia.
Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe Balozi Amina Salum Ali Azungumzia Mafanikio ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Inchini Indonesia.
Waziri wa Biashara na Viwanda Dkt,Amina Salum Ali kulia akielezea kwa Waandishi wa Habari mambo mbalimbali yaliofanyika katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein alioifanya Nchini Indonesia Mwezi uliopita.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Issa Haji Ussi (GAVU)akifafanua baadhi ya maswali yalioulizwa na Waandishi wa Habari katika kikao cha kuelezea mambo mbalimbali yaliofanyika katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein alioifanya Nchini Indonesia Mwezi uliopita.
Mshauri wa Rais wa Mambo ya Uchumi Fedha na Uwekezaji Balozi Mohamed Ramia akijibu baadhi ya maswali yalioulizwa na Waandishi wa Habari katika kikao cha kuelezea mambo mbalimbali yaliofanyika katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein alioifanya Nchini Indonesia Mwezi uliopita.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano na Waziri wa Biashara na Viwanda Balozi ,Amina Salum Ali kuelezea mambo mbalimbali yaliofanyika katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein alioifanya Nchini Indonesia Mwezi uliopita.
Muandishi wa Habari wa Bomba Fm Mwinyi sadala akiuliza maswali katika Mkutano na Waziri wa Biashara na Viwanda Balozi ,Amina Salum Ali kuelezea mambo mbalimbali yaliofanyika katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein alioifanya Nchini Indonesia Mwezi uliopita.
Hivyo makala Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe Balozi Amina Salum Ali Azungumzia Mafanikio ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Inchini Indonesia.
yaani makala yote Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe Balozi Amina Salum Ali Azungumzia Mafanikio ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Inchini Indonesia. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe Balozi Amina Salum Ali Azungumzia Mafanikio ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Inchini Indonesia. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/waziri-wa-biashara-na-viwanda-zanzibar_24.html
0 Response to "Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe Balozi Amina Salum Ali Azungumzia Mafanikio ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Inchini Indonesia."
Post a Comment